Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,787
- 37,992
Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu alianza kuumwa, baadaye wakakuta figo inashida.
Ilipofikia, haikuwa habari njema kwa familia.
Hatimaye amenda, amelala mchana huu.
Ushauri:
Hatukatai kunywa. Kunywenyi kwa furaha, sio kulewa mpaka upate magonjwa.
Pumzika kwa amani, br. Raha ya milele akupee, ee bwana. Mwanga wa milele umwangazie.
Upumzike kwa amani. Amen.