vijana

  1. Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  2. Vijana mkipewa kazi fanyeni kazi. Inaumiza sana mnapewa kazi mnalipua kazi

    Sina muda wa Salamu. Nina hasira kichizi. Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha. Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
  3. R

    Jamani, wale vijana wa Arusha (WACHOKONOZI) waliotekwa jana kuna habari za kupatikana kwao?

    Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
  4. L

    Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  5. W

    John Mongela asema vichaa watafundishwa adabu na vijana wa CCM

    Wakuu Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM. Sijui watashughulikiwa vipi, sad. === "Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana...
  6. K

    PreGE2025 MNEC Mlao: UVCCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi

    MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
  7. Hile generation ya vijana wa uamsho wa mapinduzi ya Iran inatokomea

    Baada ya Mapinduzi dhidi ya SHAH 1979, wengi vijana ambao walikuwa na hadhi ya militants ambao wengi baada ya 1990s walikuwa na vyeo vya juu katika Jeshi la kimapinduzi ya IRAN. Kizazi hicho kimeanza kufutika katika uso wa nchi badala ya ISRAEL. Kuanzia ajali ya Helicopter iliomuondoa IBRAHIM...
  8. Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  9. Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  10. K

    PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  11. SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
  12. Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  13. Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  14. Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

    Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo... ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
  15. W

    Mbunge Joyce Atieno aliyeenda kutizama mwili wa marehemu Ojwang ametimuliwa na vijana wenye hasira kali

    Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama mwili wa mwalimu Albert Ojwang' aliyeuawa, na kabla hajaweza kuzungumza na waandishi wa habari, vijana...
  16. Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

    Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
  17. Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  18. Kwa maslahi mapana ya Taifa CCM imakinike sana na vijana

    Ni lazima na ni muhimu sana wasome upepo ulivyo kwasasa.. Na kundi la kuchunga sana ni hili kundi la vijana... Lina ndoto nyingi.. Lakini pia changamoto za maisha ni nyingi na halioni mwanga mbele. Tofauti na makundi mengine hili ni kundi ambalo halina cha kupoteza maana bado halijafikia mahali...
  19. PreGE2025 Gerson Msigwa ajibu kuhusu vijana waliomzomea UDOM wakisema 'No reforms No election' asema ni walevi wachache waliotumwa kupiga kelele

    Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
  20. Vijana wa ccm hapa JF njoni tutete

    Kama kweli hamkubaliani na NO REFORMS NO ELECTION... njoni hapa mpinge ama kama mnaona soni anzisheni uzi wenu.. Msidandie dandie nyuzi za wengine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…