vijana

  1. O

    Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  2. Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  3. Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

    Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini. Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti...
  4. Makosa Matano Makubwa Yanayokwamisha Malengo ya Vijana Wapambanaji

    Habari zenu wakuu Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba Mwampamba anaanza kwa kusema "Leo imeshakuwa jioni Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni Hata dalili zake...
  5. L

    Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  6. Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  7. Ushauri wa vijana kwa nchi yao

    Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu Mfano Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿?? Kwa mimi binafsi ..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa ..kilimo...
  8. B

    Vijana hasa Wakike wa Kaskazini ni Waaminifu ukiwachia biashara, hawana Kona kona Nyingi

    Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara. Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
  9. G

    Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  10. R

    Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  11. M

    Yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha kwa wachimbaji wadogo

    "Haya madini hayaozi yaacheni siku watu wetu wakiamka na kutambua jinsi ya kuyachimba watayachimba". Hiyo ni kauli ya hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa lake na kizazi cha Taifa. Leo yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha...
  12. Vijana Village Funds: Mikopo isiyo na riba lengo kuishi vijijini na kufanya uzalishaji

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo...
  13. Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi. Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi. Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
  14. Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  15. Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  16. Vijana na dira ya taifa

    Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,, Leo hii kijana anaonekana kama tishio...
  17. Vijana wa CCM msijilize. Hamna gharama mnazolipa huku mtaani

    Hivi karibuni kuna vijana (kwa akili zao timamu) wameaumua kuunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wakiwa wanaonyesha support kwa Serikali na chama kwenye mitandao ya kijamii, wamepokea kejeri, matusi na lawama kwa vijana wengi sana; sasa jambo hili limewafanya wahisi vijana wao wanaona wajinga...
  18. Kuna kipindi vijana kutokana kukimbia mashida, matatizo , kutengewa na ndugu au wanyewe kujihisi hawakubaliki huamua kukimbia na kwenda mbali

    Lakini nakwambia Ewe kijana peke yako. Baba yako na Mama yako ndio pekee wNa uchungu na wewe katika Dunia hii. Hakuna takataka yeyote zaidi ya Baba na Mama. Kuna watu wana maumivu na malipizi ambayo hayaji lipwa. Kuna watu wakiwa jelA waliskia mama zao wamekufa na hawakupata nafasi za...
  19. Tushauri vijana tunaotaka kukuza mitaji, tufanye nini ili kukwepa matumizi ya pesa yatokanayo na msukumo wa kihisia/ngono?

    Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000. Basi bwana nikampata bonge la mdada chibonge mrefu na mweusi. Kufupisha stori Baada ya wiki tu mtaji ulikata. Kuna...
  20. Yule alisema ME wanaweweseka wakiwa karibu yake, huyu mwingine anasema vijana hawana pesa na hawanyoosh mashati, naona sasa jukwaa limekuwa leo tena

    Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi. Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown na kila mrembo humu ana 25yrs Maisha yaendelee🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…