vijana

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia’s “Who are You” TikTok challenge - Vijana wameamua

    Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani. Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa watawala! Una videos zaidi? Share!
  2. JamiiForums Tanzania 4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Vijana wa Bara akabidhi Matokeo ya Mkutano wa Vijana kwa Meya wa Johannesburg

    Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano wa Tano wa Vijana wa Afrika uliofanyika Afrika Kusini kwa Mheshimiwa Dada Morero, Meya wa Jiji la...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media. Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu. Wizara...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanafanya nini kwenye mkutano wa wazee? Na mbona inaonekana wako wengi!

  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  8. JamiiForums Tanzania Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

    Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjadala wa maandamano ya Disemba 9 wajadiliwa hadi bar. Vijana kwa wazee waja juu

    Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025 Wakiwa kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

    Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao. Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Vijana si wajinga, kusema wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi

    Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho. Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji kabla ya Uchaguzi. "Kusema vijana wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi, wamehamasishwaje hiyo ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira awataka vijana wasikubali kurubuniwa kuvuruga amani ya nchi

    Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu :FeelsWeirdMan: ------------ Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Agnes Marwa awaasa wazazi kusema na vijana wao

    AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na kuzungumza na watoto wao, hususan vijana, kuhusu umuhimu wa uzalendo, nidhamu, na kujiepusha na...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujificha kwenye hoja za CHADEMA, nyoosheni maelezo kuwa life kwenu limekuwa gumu Rais aangalie namna

    Tangu nchi hii ipate uhuru Rais Samia ni Rais bora sana. Rais mwenye utu mkuu. Vijana mliookosa ramani kuanzia 2015-2021 kipindi cha Magufuli ni kama vile zama zenu zimepita. Kila jambo na wakati wake. Yule jamaa aliwavuruga mkakosa ajira, vibiashara vikagoma . Lakini mlivyokuwa malofa mnamwona...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  16. JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  19. JamiiForums Tanzania Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Elimu Yetu Inahitaji Kubadilishwa Kimsingi Ili Kusaidia Vijana Wetu

    Wana JF, poleni na majukumu… Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa kuliko tunavyodhani, na tukiliacha litaendelea kutengeneza kizazi kinachohangaika bila sababu. Kwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…