vijana

  1. JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa Gen Z wanavyosherehekea krismasi

    😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  4. JamiiForums Tanzania Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

    Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
  5. JamiiForums Tanzania The great schism: hii serikali ni straight up trash na sisi vijana tushawakata chama kwenye hii mutual disregard!

    Ukweli ni kwamba tushafika point ya no return ambapo kuna total breakdown ya mawasiliano kati ya mtaa na hawa jamaa wa juu. Hii serikali is full of it, wamekaa kwenye viti vyao wakijiona ni untouchable huku mtaani vijana tukisota kinyama. It’s a mutual delegitimization process, yani kifupi we...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa ndo maadui zetu vijana

    1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa 'Vijana' atazunguka nchi nzima kusikiliza kero za Vijana?

    Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wapewe nguvu ya kiuchumi

    Mambo Tanzania ! Naomba vijana wapewe fursa ya kuunganishwa kiuchumi yaani wawekwe makundi 6. Wapewe sekta wawekeze na wazisimamie kikamilifu. Sekta zifuatazo wapewe vijana; 1. Usafirishaji wa ndani ( Mwendokasi na usafiri wote wa Umma nchini) 2. Kilimo (BRT nchi nzima) 3. Madini (Migodi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

    Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana nyinyi ndio mabadiliko yenyewe

    My people, Utangulizi Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni yule ambaye yupo open minded kusikiliza na upande wa pili hata kama ahafikiani na maoni na mawazo...
  13. JamiiForums Tanzania Najiuliza ya kwamba, Serikali yetu ya Tanzania inashindwa nini kutengeneza Kijiji Cha vijana kama incubation center

    Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za kisasa...Kilimo, viwanda...mafunzo ya Vocational training km VETA, Uchimbaji wa madini, uchakataji wa Vito...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwanusuru ili vijana wa kitanzania wasirubuniwe kifikra na kufanywa kua mamluki wa mabeberu na kufunzwa ugaidi nchi Jirani?

    Kama mdau wa jukwaa hili muhimu la siasa, unashauri nini kifanyike katika kuwaokoa na kuwanusuru vijana wa kitanzania ambao baadhi yao wamekua waraibu na mateka wa athari za digital sadism contents, ambazo zimewapelekea kurubuniwa kirahisi kifikra na hatimae kufanywa mamluki wa vibaraka wa...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Kisare: Tuwasikilize vijana wanataka nini, Hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwanyamazisha kundi hili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha. Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  19. JamiiForums Tanzania Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…