vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

    sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni? Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako. una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za China Zapata Umaarufu Katika Maduka Nchini Somalia na Kuchochea Ujasiriamali kwa Vijana

    Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
  3. JamiiForums Tanzania Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kama viongozi hawana maadili unategemeaje vijana wawe na maadili?

    Hamjambo wote! 1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa. 2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili. 3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
  5. JamiiForums Tanzania Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope! 2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

    Wapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua, Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
  9. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Uzalendo ladai kuna sintofahamu kuhusu Sh Bilioni 200 za Vijana

    Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini. Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
  10. JamiiForums Tanzania Paul Makonda atangaza Wizara yake imetenga Bilioni 50 ili kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana. Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuwa waaminifu. Angalia jinsi Dola 100 ilivyotaka kunitoa roho

    Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi prank za vijana kujifanya machizi zinazidi kuongezeka zina tafsiri mbaya kiroho

    Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara Sababu maarufu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasoma kuhusu HIV nimegundua kuna uwezekano vijana wengi sana ni waathirika wasiojua

    Baada ya maambukizi , inachukua miaka 10 hadi 15 mtu kuanza kuona dalili za hiv, Kumbe wengi wazinzi naweza sema watoto wa 2000s walioanza uzinzi let's say 2018 wakiwa na miaka 18+, Dalili wanaweza kuanza kuziona around 2028 kuendelea. Kipindi chote hiki wanaweza kuishi kwa kuwaambukiza...
  16. JamiiForums Tanzania DPP awafutia shitaka la uhaini vijana saba Wilayani Magu

    Mahakama ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Machi 6, 2026 imewaachia huru watuhumiwa saba waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la uchomaji Moto, Shauri la Jinai Namba 2037 la Mwaka 2026 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo pasi kuacha shaka. Taarifa ya LHRC imeeleza kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa vijana weka utaratibu maalum ulio wazi wa kusajili vijana platform online kila mkoa Ili kuepuka kujaza UVCCM tu ambao ndio wanakupokea

    Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha, Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu. Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Shirika la Vijana Taifa

    Habari Tanzania !. Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee. Hili Shirika lingefaa zaidi kuwaweka Vijana kwenye makundi 3: 1. Wenye Elimu au...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIV Jab Sio “Raha Pass!” CHP wa Dagoreti South Awa wa Kwanza Kupokea, Aonya Vijana

    Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass. “Nikiwa CHP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…