vijana

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametangaza kuajiri vijana 139 watakaosambazwa katika Halmashauri zote nchini ili wawe waratibu wa Miradi ya REA katika maeneo yao. Makamba amesema hayo Julai 13, 2022 akizingumza Bariadi Simiyu “Vijana hawa 139 kazi yao ni kufuatilia miradi imefikia hatua...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana

    Vijana wanahitaji ushauri. Vijana lazima wasali,watafakari,wamche Mungu. Watu wengi ambao hawajasoma Msahafu wanataka kuwapotosha vijana. Vijana wadogo hata hawajafikisha umri wa miaka ishirini, wanaadhibiwa vikali badala ya kupewa ushauri. Usiku ni wakati wa kupumzika. Sasa ukihangaika...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  7. JamiiForums Tanzania Vijana waliofanikiwa vs vijana ambao hawajafanikikiwa

    Habari wakuu, nyie jamaa mnaosukuma subaru dzr, bmw dys na toyota dzk mnawazungumziaje wanenu apeche alolo mlo soma wote sec & primary school? Iko hivi nimepita mahali dada anazungumza na simu network inazingua anajitambulisha kwa mtu wa pili anaezungumza nae yeye ni mke wa 'ngumi jiwe'...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Nasikitika sana! Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao! Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana. Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya! Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  10. JamiiForums Tanzania Pasu kwa Pasu haiwezekani enyi vijana

    PASU KWA PASU HAIWEZEKANIKI ENYI VIJANA. Anaandika, Robert Heriel Mtu huchagua maisha yake mwenyewe katika Baadhi ya Maeneo, kuchagua uwe Mmiliki au mmilikiwa ni Moja ya uchaguzi binafsi wa mtu, mtu unajiamuliwa mwenyewe. Ukishachagua upande wa MMILIKIWA elewa Kabisa hakuna kitu kinachoitwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awasihi vijana kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN UVCCM HQ JULAI 03, 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo alipokua anahutubia katika Mahafali ya UVCCM Seneti ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza changamoto ya ajira?

    Bado kichwa changu kinauma kwa kutafakari ni nini haswa kifanyike kupunguza hizi changamoto za ajira kwa vijana wa kitanzania?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waipa somo Marekani

    Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza kodi kwenye betting haioni inaendelea kuharibu vijana ambao wapo addicted na kubet

    Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%. Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo. Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
  15. JamiiForums Tanzania Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vijana wa boda boda mikoani ni maagent wa waganga wakienyeji hasa mikoa ya nyanda za juu

    Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ... Baada ya kuchunguza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

    Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa. Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wana jukumu la kulikomboa Taifa

    - Habari Wanajamii wenzangu. Awali ya yote ningependa kumnukuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kuhusu jukumu la vijana katika Taifa. Mwl. Nyerere anasema “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa...
  19. JamiiForums Tanzania Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

    Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali, Hali ni mbaya saana Uzi tayari.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…