vijana

  1. Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  2. Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

    Hongera sana kwao! Miaka mia ya Nyerere imechagizwa vyema kabisa na wimbo huu, napenda kulifahamu zaidi kundi hili.
  3. L

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  4. Vijana na uchaguzi UVCCM na UVCCM 2022

    VIJANA NA UCHAGUZI NDANI YA CCM NA UVCCM 2022 Na Victoria Charles Mwanziva (Katibu idara ya uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Chama cha Mapinduzi CCM kinaheshimika na kufahamika kwa mfumo wake mzuri wa demokrasia iliyoshamiri ndani yake, kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwake baada ya...
  5. Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

    Habari za Majukumu wanajukwaa..... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa. Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga...
  6. P

    Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
  7. Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

    Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
  8. Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  9. Q

    CCM ina ‘Succession Plan?’ Vijana wameiangusha. Je, wazee watakuja na mapya?

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeamua kuendelea kuwatumia wastaafu baada ya vijana kiliowaamini kina Ally Hapi, Sabaya, Makonda, Polepole, Bashiru kuwaangusha kiutendaji, na wengine baadhi kukosa radhi na kuanza kuwabeza Wazee kwa matusi kina Musiba, Musukuma, “Nafurahi Wastaafu Kutukanwa”.- Lusinde...
  10. CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  11. Vijana Mradi wa YAM wapewa darasa walime parachichi, watatoka kwenye umasikini

    Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa. Mkulima mdogo wa...
  12. Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
  13. Vijana brand ambayo umeijenga kwa miaka zaidi ya 20 usiruhusu iharibiwe kwaa uepesi

    Kwa ufupi ikiwezekana kuwa katili, na mtu akikuletea ubishi mtangulize kuzimu. Leo nimechukua sana.
  14. Iringa: Vijana waeleza wanatishiwa na wazazi wao wakitaka kuomba mikopo

    Imeelezwa kuwa kutokana na uelewa mdogo na hofu ya baadhi ya wazazi juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi nyingine za kifedha imesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya vijana katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambao wamekuwa wakizuiwa na wazazi wao...
  15. Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

  16. Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  17. "Fix" nyingi za Viongozi wetu mbeleni zinaenda kuua Taifa. Tuwafundishe Historia ya kweli vijana wetu

    1. Madarasa, madawati, hospitali, maji ya Samia. Vya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli havisemwi, kana kwamba hawakufanya lolote. 2. Viongozi wengi Uchaguzi 2020 walipitishwa tuu kwa nguvu nguvu, uwongo unatamalaki, vijana wetu wanaona, kesho na wao watadanganya vivyo hivyo. 3...
  18. Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana? Pia, soma; https://www.jamiiforums.com/threads/dar-vijana-watano-wamepotea-katika-mazingira-ya-kutatanisha.1950163/
  19. Mnaposema Vijana Wajiajiri na hamtoi Elimu wala hamuwadhibiti ipasavyo mnategemea nini? Watavunjika na Watakufa sana tu

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kumekuwa na ongezeko la ajali za bodaboda, hali iliyosababisha ongezeko la wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), hivyo kuigharimu sekta ya afya. Amesema jumla ya wagonjwa wa ajali za bodaboda 10 hadi 15 kila siku hufikishwa MOI, huku kwa...
  20. R

    Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…