vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Msitu wa vifo

    SIMULIZI. MSITU WA VIFO: MTUNZI. Dogoli kinyamkela ☠️💀. Songa nayo........ SEHEMU YA KWANZA: MLANGO USIOONEKANA Usiku ulikuwa mzito. Anga lilitapakaa mawingu meupe yaliyofunika mwezi kana kwamba walitaka kuzuia mwangaza usiingie mahali popote. Upepo wa baridi ulivuma kwa kasi, ukizitikisa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  3. relis

    JamiiForums Tanzania Mbona vifo vimeongezeka

    Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

    Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn trend ya vifo ni vingi kwa wanaume kuliko wanawake?

    Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana. Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

    Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu Na viongozi wameombwa kusaidia...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Update: Vifo vya tetemeko vyafikia 2, 719 Myanmar

    Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo Aprili 1, 2025. Mamlaka nchini Myanmar zimefanya dakika moja ya kimya kuwakumbuka waathirika wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Angola: Visa Vya Kipindupindu Vimeongezeka Hadi 3402 na Vifo 114

    Angola imerekodi visa 3,402 vya kipindupindu na vifo 114 tangu mlipuko huo uanze mapema Januari, kulingana na taarifa ya kila siku ya Wizara ya Afya kwa vyombo vya habari jana (Jumanne). Tangu Februari 1, Angola imekuwa ikiripoti zaidi ya visa 100 vipya vya kipindupindu kila siku, ikifikia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

    Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa salama dhidi ya radi, kufuatia vifo Bukombe ni muhimu

    Geita, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania Tukio hilo lilitokea jana Januari 27,2025 baada ya mvua kubwa iliyoambatana na radi kunyesha wilayani humo wakati...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu na Muhammad walipokufa waliacha vurugu? Nini uhalali wa utukufu na mantiki ya dini na matokeo ya vifo vyao?

    Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu Ukiachana na vifo...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vifo kutokana Mpox Vyafikia 10 Nchini Uganda

    Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya sasisho la hali iliyotolewa siku ya Jumatatu, Wizara ya Afya ya Uganda ilisema angalau maambukizo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Azerbaijan yaanguka na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan

    Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan. Katika operesheni kubwa ya uokoaji, manusura 29 wakiwemo watoto wawili waliokolewa...
  17. Marcy

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya chemotherapy hupelekea vifo zaid kwa wenye saratani

    Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  19. bezos2019

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Vifo vya kina mama wakati wa kujifungua ni picha ya maendeleo

    Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la nchi ni Idadi hii ni ya Vifo vilivyotokea kati ya kila wanawake laki mmoja waliojifungua salama mwaka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
Back
Top Bottom