vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani

    Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani Katika hotuba iliyojali Kejeli, hakugusia wala kutoa heshima ya waliotangulia mbele za haki. Bali amewashukuru Wagombea Urais wenzake 16 kwa kukubali matokeo. Amesema kutokana na hayo mauaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Vifo vyaongezeka Nepal hadi 31 kufuatia maandamano

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano yenye vurugu nchini Nepal imeongezeka na kufikia watu 31, huku juhudi zikiendelea kuunda serikali ya mpito kufuatia kuondolewa kwa Waziri Mkuu KP Sharma Oli. Kwa mujibu wa Idara ya Tiba ya Uchunguzi wa Maiti katika Hospitali ya Mafunzo ya Chuo Kikuu cha...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hata kama huna akili timamu unaona tu kuwa serikali ya Samia 2nd itatumia ubabe kuondoa zuio la maiti yenye deni hali itakayoongeza vifo hospitalini

    Kitakachofanywa na hospitali za Rufaa na hospital kuu kama Muhimbili ni kutotoa huduma yoyote ya msingi kwa mgonjwa kama hajalipia pesa kwenye huduma husika. Yes mpaka sasa ndicho kinachofanyika ila pindi serikali itakapotumia ubabe kuweka zuio la maiti kwenye hospital za umma hali itakuwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mafuriko na maporomoko India zasababisha vifo vya watu 30

    kwa mujibu wa shirika la habari la ANI Agosti 27, 2025 mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo katika njia maarufu ya hija ya Kihindu kaskazini mwa India, na kusababisha vifo takribani watu 30 huku maafisa wakitoa tahadhari yamewalazimu maafisa kutoa tahadhari kwa wananchi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuwait yashikilia watu 67 kwa utengenezaji wa pombe haramu baada ya kusababisha vifo 23

    Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Duniani ni mapito na sote binadamu huzaliwa na kuna siku tutapumzishwa kila mmoja kwa wakti wake

    Serikali ya raisi Samia ilikuja na R nne ambazo mojawapo ni maridhiano na hadi sasa hakuna maridhiano yalotokea na badala yake ni kuona kuwa wapinzani wa serikali watekwa, kuuawa na kuteswa kama si kupotea kabisa. CCM chama tawala ambacho viongozi na wanachama wake wamekuwa wakijinasibu kuwa...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

    “Alikuwa na afya njema na tulipata naye chakula cha mchana. Alikuwa mcheshi sana. Siku moja tu akapoteza fahamu, wiki moja baadaye – baada ya kumpeleka hospitali akawa marehemu.” Mnamo tarehe 12 Aprili 1984, taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi makubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tunakufa kila siku lakini kwa observation yangu kuna kipindi NI kama vifo vinafululiza na kufuatana

    Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  16. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

    Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali...
  20. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
Back
Top Bottom