vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maambukizi ya Mpox yafikia Visa 800 na Vifo 4 Nchini Uganda

    Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20. The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa migogoro inayoibuka baada ya vifo vya wenye hela, nadiriki kusema "kuwa na pesa nyingi ni kukaribisha balaa kwa familia"

    Tuliyaona kwa Dr. Mengi. Tukayaona kwa Mrema. Tukayaona kwa bilionea Msuya. Tukayaona kwa Dr. Likwelile. Tumeyasikia kwa Hans Pope. Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele. Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao. Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri iundwe Tume kuchunguza vifo hivi vya Watanzania wenzetu

    SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia kwenye majonzi makubwa hususan watoto na wazazi. 1. Kifo cha KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi...
  5. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

    Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa. Kuhusu ajali hiyo, soma LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 16 wafariki 77 waokolewa Alipofika...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

    Je, ni.... 1. Ahadi ya Mola 2. Kafara la Kundi 3. Dally Kimoko Virus 4. Kurogana / Kupigana Vipapai 5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Spain: Idadi ya vifo yapindukia 200 Wakati Timu Za Uokoaji Zikitafuta Watu Waliotoweka

    Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano. Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
  11. Bams

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

    Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa. Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania CRIME STORY: Namna kujichanganya na huyu binti, kunyimwa kolabo kulivyokuwa sababu ya vifo viwili na kukamatwa watu 6 kwa kesi ya mauaji

    NI STORY YA UTOTO MWINGI NA UPUUZI MWINGI: Binti anaitwa Jania Meshell Alikuwa mpenzi wa rapper anaeitwa nba youngboy na pia alifanikiwa kuzaa nae. Baada ya kuwa wameachana. Binti huyu alianza kudate na rapper mwingine ambaye anaitwa king von. King von ambaye alikuwa tayari ameanza...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  14. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uendeshaji wa Hizbullah huwa hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao.

    Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao wakuu. Kutokana na mfumo huo nafasi yoyote inayoaachwa wazi basi huwa kuna makundi ya waliotayarishwa...
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Vifo vimezidi

    Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa. Tanzania amka. Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita. Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Urusi laua watu 41 Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
Back
Top Bottom