vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  4. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu mwenzetu, imefikia hatua hata baadhi ya watu wakiona msiba unapita karibu yao basi husimama hii ni...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  6. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wenje: Idadi ya vifo vinavyoripotiwa havijathibitishwa, tayari serikali imeweka mikakati ya uchunguzi na maridhiano

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

    Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage. Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu? Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini...
  13. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pastor Ng’ang’a awalaumu wabunge wa Kenya kwa kushindwa kuzungumzia vifo vilivyotokea nchini Tanzania

    Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano na Vifo Uchaguzi 2025: Polisi waonya kuhusu kusambaza “Picha na Video zenye kuleta taharuki”

    Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi. Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tuomboleze vifo vya wenzetu kwa matendo na si maneno

    Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria na sio amri za watu binafsi wanaojipa nchi kua mali zao, uwajibikaji wa viongozi na kuheshimu haki...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  20. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tupate Database maalum ya vifo vya #MO29

    Naam! Vifo vilivyotokana na shambulizi la 9/11 pale World Trade Center, NY vilikuwa 2000+. Lakini mpaka Leo wamarekani kwa sauti moja wanasema “we will never forget” Japo hatuna idadi rasmi ya vifo vya #mo29, wengine wanasema ni zaidi ya 1000+. Zipo picha zimezagaa tu bila kuwa na sehemu moja...
Back
Top Bottom