Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!
Hayo makofi...
Kuna mkanganyiko mkubwa wa idadi ya vifo vilivyotangazwa na tume ya jaji Chande
Lakini pia imezua maswali..
Je idadi hiyo iko documented police ama hospital?
Je death certificate zake zipo?
Je postmortem report zake zipo
Je vibali vya mazishi vipo?
Je makaburi yao yapo? Nknl
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Wanabodi
Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?.
Ripoti imetoa tuu idadi ya...
Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho.
Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA.
Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA MILELE.
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi...
Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati??
Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya mgonjwa kujigeuza kichwa bila kujua(alikua unconscious)
Kwani thamani ya binadamu inabadilika? Ikiwa...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka
Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
Video iliyosambazwa mtandaoni inaonyesha tingatinga likivamia soko huko Beijing, na kusababisha vifo na majeruhi.
Mamlaka za China bado hazijatoa taarifa rasmi kufafanua mazingira ya tukio hilo au kuthibitisha maelezo yake.
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.
Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda...
INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
Asalaam aleykhum..
Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao?
Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu?
Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani
Au wanazikana 🤣?
AARIFA KWA UMMA
UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji.
Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.