vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
  2. JamiiForums Tanzania Duniani ni mapito na sote binadamu huzaliwa na kuna siku tutapumzishwa kila mmoja kwa wakti wake

    Serikali ya raisi Samia ilikuja na R nne ambazo mojawapo ni maridhiano na hadi sasa hakuna maridhiano yalotokea na badala yake ni kuona kuwa wapinzani wa serikali watekwa, kuuawa na kuteswa kama si kupotea kabisa. CCM chama tawala ambacho viongozi na wanachama wake wamekuwa wakijinasibu kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  4. JamiiForums Tanzania Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

    “Alikuwa na afya njema na tulipata naye chakula cha mchana. Alikuwa mcheshi sana. Siku moja tu akapoteza fahamu, wiki moja baadaye – baada ya kumpeleka hospitali akawa marehemu.” Mnamo tarehe 12 Aprili 1984, taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi makubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Tunakufa kila siku lakini kwa observation yangu kuna kipindi NI kama vifo vinafululiza na kufuatana

    Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  7. J

    JamiiForums Tanzania DIRA2050: Ifikapo 2050 huduma za afya zitapatikana kilometa sifuri toka kilometa tano za sasa | Hii itasaidia kuondoa vifo vya mama na mtoto

    == Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia. Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  10. JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba vimefika 42

    Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matunda ya "demokrasia" kenya inashuhudia vifo zaidi ya 16 kutokana na maandamano

    Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
  12. JamiiForums Tanzania Msitu wa vifo

    SIMULIZI. MSITU WA VIFO: MTUNZI. Dogoli kinyamkela ☠️💀. Songa nayo........ SEHEMU YA KWANZA: MLANGO USIOONEKANA Usiku ulikuwa mzito. Anga lilitapakaa mawingu meupe yaliyofunika mwezi kana kwamba walitaka kuzuia mwangaza usiingie mahali popote. Upepo wa baridi ulivuma kwa kasi, ukizitikisa...
  13. JamiiForums Tanzania Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbona vifo vimeongezeka

    Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

    Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn trend ya vifo ni vingi kwa wanaume kuliko wanawake?

    Yaani naona wanaume wanapukutika tu. Yaani ukiacha ajali na vifo vya uzazi, wanaume wanakufa sana. Ukizingatia tu idadi ya viongozi wetu wakuu wote waliofariki wake zao wapo Karume, Nyerere,mwinyi, mkapa Lowasa Membe, Magufuli nk Kuna tatizo gani niwaombe mabingwq waje na research ili tujue...
  17. JamiiForums Tanzania Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

    Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu Na viongozi wameombwa kusaidia...
  18. JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  19. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Update: Vifo vya tetemeko vyafikia 2, 719 Myanmar

    Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo Aprili 1, 2025. Mamlaka nchini Myanmar zimefanya dakika moja ya kimya kuwakumbuka waathirika wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…