Tusiomboleze wenzetu kwa maneno, tufanye vitendo
Wamekufa kwa sababu yetu, walitaka sisi wote tuishi kwenye nchi nzuri yenye uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa vyombo vya habari, utawala wa sheria na sio amri za watu binafsi wanaojipa nchi kua mali zao, uwajibikaji wa viongozi na kuheshimu haki...