Ongezeko la vifo kwa asilimia 5,427

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
763
Huku akitumia data za:
CDC (Centre for Disease Control)
FDA (Food and Drug Administration) na
VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System),

Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops:
kwa kipindi cha chini ya miaka hii miwili baada ya watu kuanza kupigwa mishale
ukilinganisha kipindi cha miaka 10 iliyopita.

22.jpg

Unaweza kusoma taarifa nzima kwa kubofya HAPA.

When will people wake up!
 
Sijui kiingereza ila vifo vikiongezeka mara 50 zaidi ya kawaida basi pengo la watu duniani lazima lingeonekana kwa hii miaka miwili
Uko sahihi sana mkuu. Lakini asilimia inayoongelewa hapa sio ya watu waliopo duniani.
Maana yake ni hii:
Miaka kumi iliyopita, watu walikuwa wakichanjwa chanjo mbalimbali.
Baadhi ya waliochanjwa walikufa. Ila walikuwa wachache.
Lakini ndani ya miaka hii miwili kiwango cha vifo kimezidi vifo vyoooote vya hiyo miaka 10 kwa asilimia zaidi 5000%.
 
Its normal, Kuna data zinaonyesha watu laki moja na ushee kila siku wanakufa duniani.

Yaani kila sekunde kuna mtu huko anakata moto.

https://www.worldometers.info/
HIcho sicho kinachomaanishwa mkuu. Kufa ni jambo la kawaida na litaendelea.
Tunachoongelea ni phenomenon IILEILE ambayo jana ilisababisha vifo viwili leo inasababisha vifo kumi.

Kama watu walitumia dawa fulani kwa miaka 10 na wakafa watu 1000 halafu miaka kumi baadaye dawa ileile ikasababisha vifo 100,000 NDANI YA MIAKA MIWILI, hapo ndipo swali liliko. NI KWA NINI?
 
Huku akitumia data za:
CDC (Centre for Disease Control)
FDA (Food and Drug Administration) na
VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System),

Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 :oops:
kwa kipindi cha chini ya miaka hii miwili baada ya watu kuanza kupigwa mishale
ukilinganisha kipindi cha miaka 10 iliyopita.

View attachment 1983509
Unaweza kusoma taarifa nzima kwa kubofya HAPA.

When will people wake up!
Mavumbini tutarudi
 
HIcho sicho kinachomaanishwa mkuu. Kufa ni jambo la kawaida na litaendelea.
Tunachoongelea ni phenomenon IILEILE ambayo jana ilisababisha vifo viwili leo inasababisha vifo kumi.

Kama watu walitumia dawa fulani kwa miaka 10 na wakafa watu 1000 halafu miaka kumi baadaye dawa ileile ikasababisha vifo 100,000 NDANI YA MIAKA MIWILI, hapo ndipo swali liliko. NI KWA NINI?
Nadhani hizo data zingewekwa against data za vifo vilivyotokana na COVID, ndo zingeleta maana. Kwa miaka miwili mitatu hii ya ugonjwa dunia imepoteza watu wangapi kwa COVID, ukilinganisha na waliokufa kwa madhara ya chanjo ya COVID? Lakini pia, hata kwa miaka 10, au uongeze ifike 20, hakuna kipindi watu wamepukutika kama ndani ya kipindi hiki cha COVI D, so hizo data ni kama zimeamua kuamplify madhara ya chanjo.
 
sidhani mkuu kama hiyo ingekuwa comparison nzuri. Inaleta mantiki zaidi kulinganisha chanjo kwa chanjo nyingine; vifo vya chanjo kwa vifo vya chanjo nyingine; muda wa chanjo moja kwa muda wa chanjo nyingine.

Na kama unataka iwe hivyo ulivyosema, basi lazima vifo vilivyotokana na korona viwe against vifo vilivyotokana na chanjo zingine. Hapo ndani inawezekana kusema: Kwa nini chanjo zingine zilileta vifo kidogo ndani ya muda fulani lakini hii imeleta vifo vingi ndani ya muda uleule?
 
Nakuelewa mkuu

Nakuelewa mkuu. Lakini chukua hii scenario, una ugonjwa let's call it A, unaua wastani wa watu 100 kwa mwaka. Ikaletwa chanjo yake, na kati ya waliochanja asilimia 10 wakafa. Na ukawa na ugonjwa B, unaoua wagonjwa 300,000 kwa mwaka, na asilimia 10 ya waliochanja against ugonjwa B wakafa, je, kama utalinganisha numbers za waliokufa kwa madhara ya chanjo bila kuchukua number halisi ya vifo vilivyosababishwa na ugonjwa, huoni kwamba unakuwa unatilt judgement kwenda upande mmoja? Kwa maoni yangu, so as long as COVID imepoteza maisha ya wengi sana ndani ya kipindi kifupi, data zozote za CHANJO KWA CHANJO, MUDA KWA MUDA, na hata MADHARA YA CHANJO KWA MADHARA YA CHANJO zingeegamia zaidi upande wa COVID. Maoni yangu pia, naona ni sawa na kulinganisha ukubwa wa sikio la sisimizi (kama ana masikio)....joking, na ukubwa wa sikio la sungura bila ku-account for the difference in their body sizes. Hapo itawatisha waliopata na wanaotegemea kupata chanjo
 
Kama hiyo taarifa ni kweli, inamaana 2020 kipindi cha Corona vifo vilikuwa wastani, ila 2021 kipindi cha chanjo, ikawa balaa
 
I like the "sikio la sisimizi" analogy. :DNakubali scenario yako. Lakini ukweli ni upi kuhusu ugonjwa huu? Ukweli ni kwamba survival rate ya covid ni above 95% kwa maana kwamba uwezekano wa watu kufa nao ni mdogo sana (fatality rate is 0.03). Unaweza kusoma HAPA. Kwa hiyo, ni propaganda tu ndio zimetujaza hofu kwa ili wao watimize malengo mengine kabisa.

Maana yangu ni kuwa hata tukilinganisha kwa msingi wa scenario uliyoweka, bado fatality rate ya chanjo hii itakuwa way too high.
 
wenye magonjwa makubwa kama vile;
Ukimwi, Kisukari, Presure, TB na Ugonjwa wa moyo wapo kwenye Hatari zaidi.
wanapaswa wachukue tahadhari sana.
Chanjo ni Muhimu ktk kujikinga.
Piga chanjo kisha chukua tahadhari zote.
 
Kama hiyo taarifa ni kweli, inamaana 2020 kipindi cha Corona vifo vilikuwa wastani, ila 2021 kipindi cha chanjo, ikawa balaa
Nakubaliana na wewe mkuu.
Kadiri watu wanavhyokubali hii kitu, ndivyo hali inazidi kuharibika.
Hata watoto wengi sasa (miaka 17, 18) wanapata ugonjwa wa moyo (myocarditis).
Tazama HAPA.
 
Huku akitumia data za:
CDC (Centre for Disease Control)
FDA (Food and Drug Administration) na
VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System),

Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops:
kwa kipindi cha chini ya miaka hii miwili baada ya watu kuanza kupigwa mishale
ukilinganisha kipindi cha miaka 10 iliyopita.

View attachment 1983509
Unaweza kusoma taarifa nzima kwa kubofya HAPA.

When will people wake up!
Unaongelea kuchanja, halafu unaongelea miaka hii miwili.. Chanjo imeanza February mwaka huu, ndo kwanza ina miezi 9.. Ila corona ilianza Dec 2019.. ina miaka miwili.. Kwanini usihusishe vifo na ugonjwa badala ya kuhusisha vifo na chanjo? Ewe mleta mada--
 
wenye magonjwa makubwa kama vile;
Ukimwi, Kisukari, Presure, TB na Ugonjwa wa moyo wapo kwenye Hatari zaidi.
wanapaswa wachukue tahadhari sana.
Chanjo ni Muhimu ktk kujikinga.
Piga chanjo kisha chukua tahadhari zote.
.
mkuu, ni bora hata iwe chanjo
hii si chanjo
ni gene modification technology.
 
Back
Top Bottom