vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
  2. JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)? Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)? Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza. Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
  3. JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi wa serikali Idara kadhaa hivi karibuni: Utawala wa serikali kuu una matatizo.

    Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi 3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimepewa unabii: Kutakuwa na vifo vya wanafamilia wa Utawala huu

    Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wagoma: Vifo 79 Vyaripotiwa kwa Siku Tatu Huku Mgomo Ukiingia Siku ya 37

    Mgomo wa wauguzi na wakunga nchini Kenya umeendelea kuathiri huduma katika hospitali za umma huku kukiwa na ripoti za vifo vya kina mama na watoto. Kulingana na taarifa kutoka kwa mashirika ya wataalamu wa afya, vifo 79 vilirekodiwa kati ya Septemba 1 na 3, 2026. Takwimu hizo zinajumuisha vifo...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru Level 5: Vifo 11, Watoto wachanga watatu, huku mgomo wa wauguzi ukiendelea

    Hospitali ya Nakuru Level 5 imeripoti vifo 11 ndani ya saa 24, huku watoto watatu wachanga wakiwa miongoni mwa waliofariki, wakati mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini. Mgomo huo, ulioanza Julai 29, 2026, umeathiri huduma katika hospitali kadhaa za umma, huku maeneo ya uzazi na huduma za watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu El -Nino na kupunguza vifo!

    Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari, Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu. Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka. Ligi kuu itabidi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aagiza uchunguzi wa vifo vya Waandamanaji wa Gen Z

    Rais William Ruto ameagiza uchunguzi huru na wa kina kuhusu vifo, madai ya utekaji nyara, kukamatwa kinyume cha sheria na matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoripotiwa wakati wa maandamano ya Gen Z ya 2024 na yaliyofuata. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya Katiba ya 2010 katika...
  11. JamiiForums Tanzania UNICEF Yaipongeza Tanzania Kwa Maendeleo ya Afya, Lishe na Ustawi wa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) limeipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua kubwa zilizopigwa katika kuboresha afya, lishe, elimu na ustawi wa watoto, na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo yaliyoainishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  13. JamiiForums Tanzania Stroke, vifo vya ghafla na kujiua:Sababu zabainika:

    Kiwango ambacho watu hufa ghafla kinazidi kutisha. Wengi wetu tunajua kuwa tunapitia kipindi cha kufadhaika, kuchanganyikiwa, hofu, mfadhaiko, msongo wa Mawazo, nk. Sababu hizi zote huongeza hatari ya shinikizo la damu, ambayo pia husababisha kushindwa kwa moyo au kiharusi, na bila shaka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kama DPP anaweza kukaidi kutoleta mashahidi kesi ya Lisu, je sisi kwangu pakavu tia maji, si ni vifo vinatusubiri jela/mahabusu!

    Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu. Masaju amekomalia briefing za mawakili viunga vya mahakama! Concen yake ilibidi iwe JUSTICE DELAYED...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  16. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere (RIP), Kanumba (RIP). Hivi kuna Watanzania wengine waliogusa kwa hisia kali mamilioni ya Watanzania kwa vifo vyao kama hawa?

    No one can cheat death but legends live forever.
  18. JamiiForums Tanzania Mhudumu wa mazishi afurahia vifo kwasababu anapata kipato

    Mwanamke anayefanya kazi ya kuhudumia mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana alinukuliwa akisema kuwa mara nyingi huhisi furaha anaposikia kuwa mtu amefariki dunia. Mary alisema anahisi furaha kwa sababu tukio hilo humpa kazi na kumsaidia kuingiza kipato. Alisema kuwa baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania October 29: Kumbukumbu ya Vifo vya Watanzania!

    Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI). Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama...
  20. JamiiForums Tanzania Vifo vilivyoniumiza JF

    Ukipewa uzima na siha njema mshukuru sana Mungu Ukiamka huna miadi na tabibu mshukuru sana Mungu Ukiamka huna kesi polisi mshukuru sana Mungu Ukiamka una sehemu ya kwenda na ukirudi una sehemu yako mwenyewe ya kupumzisha fuvu mshukuru sana Mungu Mengine ni changamoto za kawaida za maisha! Kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…