Idadi rasmi ya vifo ni 800?

Idadi rasmi ya vifo ni 800?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,964
Reaction score
858,942
Kuna mkanganyiko mkubwa wa idadi ya vifo vilivyotangazwa na tume ya jaji Chande

Lakini pia imezua maswali..
Je idadi hiyo iko documented police ama hospital?

Je death certificate zake zipo?

Je postmortem report zake zipo

Je vibali vya mazishi vipo?

Je makaburi yao yapo? Nknl
 
Familia 1323 za wafiwa na waliopotelewa na watu wao zilitimbelewa na Tume-Nyalandu.
 
Kwa mawazo yangu wasinge fanya hayo mambo ya tume Wala nini, kwa sababu watu wa karine hii yio wajinga tena, kila kitu wana jua ni Bora watulie mda wake uishe, aje mwingine lakini kufanya hivyo ni kutonesha vidonda tu.
 
Mshana Jr
maswali uliyouliza, ulipaswa kujiuliza vile vile juu ya ule ujinga mliokuwa mnawaimbisha watu kuwa wamekufa zaidi ya 10,000
-kwa hao watu 10k mliona hizo documents na makaburi?
 
Kuna mkanganyiko mkubwa wa idadi ya vifo vilivyotangazwa na tume ya jaji Chande
Lakini pia imezua maswali..
Je idadi hiyo iko documented police ama hospital?
Je death certificate zake zipo?
Je postmortem report zake zipo
Je vibali vya mazishi vipo?
Je makaburi yao yapo? Nknl
Mkanganyiko uko wapi hapo ? Je wewe unayo taarifa rasmi kinyume na hiyo ya Chande ?

Kama unayo, hivyo ulivyo viulizia unavyo ?
 
Kama unajua kusoma tu lakini huelewi kilichoandikwa ni busara pia kukaa kimya
Nimeelewa zaidi ya wewe uliendika. Ongeza umakini. Ukweli unapingana na ripoti ya tume.

Kama unapingana na ripoti ya tume, maana yake unazo taarifa zaidi na za ukweli.

Hatuwezi kukalia kimya ujinga kama huu na mihemko.
 
Haya mambo achaneni nayo, kabisa sana inchi yetu ina umizwa na wachache walio jimilikisha, mm binasifi kwenye kazi yangu sija wahi kukwepa Kodi, lakini nina umia sana ninapo ona Kodi yangu hakuna mtu ana ilinda ili ijenge inchi badala yake ina liwa tu na baadhi ya wajanja.

Rejea ripoti ya s.a.g hakuna hata mmoja wao ame chukuliwa hatua badala yake ina takiwa watajwe tu ili waone aibu.

Sisemi Wani letee unga kwangu hapana, lakini hizi Kodi ninazo lipa ziende moja kwa moja kwenye ujenzi wa taifa letu kwa manufaa ya taifa, sio baadhi ya wachache washibishe matumbo Yao Kisha watajwe waone aibu. Wakati kwenye kulipa Kodi nabanwa mbavu.
 
Familia 1323 za wafiwa na waliopotelewa na watu wao zilitimbelewa na Tume-Nyalandu.
IMG-20260424-WA0010.jpg
 
 
Back
Top Bottom