video

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Swala alivyompiga kanzu Simba

  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Dkt. Doroth Gwajima aupiga mwingi Wasafi FM leo, amfunika Kitenge

  3. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

    Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea. Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
  4. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Kasesera na Chalamila watikisa ukumbi wa burudani, wamwaga Kwaito, usipime!

    Hakika kuna watu wamejaaliwa vipaji, hawa viongozi kwa kweli ni burudani sana!
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

    Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo. Ukienda kutazama post...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

  9. JamiiForums Tanzania Saa 6 zimepita video ya salute ya Kiba haijatimba top 10 ya YouTube trending, je haina vibe?

    baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube. upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu...
  10. JamiiForums Tanzania Salute video mbovu. Sio kidogo, sana..

    Hawa wasanii naona hawapo serious. Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6. Huyu Alikiba nae Salute atleast audio inasikilizika na ndefu kidogo dakika 4 ila video haileti maana kabisa. Very bad acting. Iko cheap...
  11. JamiiForums Tanzania Video mbili za Lucy

    Neno moja kwake! Ukiweza tabiri na kabila lake Lucy akisafisha sufuria
  12. JamiiForums Tanzania Video: Si rahisi "dictatorship regime" yoyote kuruhusu watu kama hawa waishi katika nchi wanazoongoza

    Hii ilikuwa katika bunge la pili la Utawala wa Mwendazake mwaka 2017 (mwaka mmoja na nusu hivi baada ya Magufuli kuingia madarakani). Miezi michache baadaye mbele akapigwa risasi kadhaa ili afe. Hakufa. Ukiitazama na kusikiliza madini kama haya toka kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji akatisha taarifa ya habari na kufunguka kuwa hajalipwa

    Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao. Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Pamoja na video hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

    Habari wakuu. Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine? Msaada kwa mwenye nazo....
  15. JamiiForums Tanzania Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

    Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema. Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
  16. JamiiForums Tanzania Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

    Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu. Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

    Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini? Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
  18. JamiiForums Tanzania Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  19. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: General utopolo Mzee Mpili anakuambia hatuchezi hatuchezi hatucheziiii

    Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuunganisha watumiaji wa Youtube wakati video ikiendelea

    Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…