video

  1. Video: Wana usalama watumia machine guns kumimina risasi kwa raia wanaopinga dhuluma za kidini Iran

    Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
  2. VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

    Hii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, Waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga. Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa sana.
  3. H

    Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
  4. Saudi Arabia Miseries: Video inayoonyesha wanawake wanaonyonyesha mbwa nchini Saudi Arabia yawakasirisha Wakenya

    Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu. Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani. Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
  5. R

    Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  6. Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  7. Baada ya video ya "Nikupe nini" ni muda sasa wa kutoa video ya "Ingekuwa vipi"

    Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu. Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
  8. Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

    Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini... Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel..... A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting...
  9. M

    Ndugu washiriki maziko ya daktari kwa njia ya video

    Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya maisha ya daktari Mtanzania, Mohammed Ali Hafidh (37) aliyefariki dunia nchini Uganda kwa ugonjwa Ebola ilihitimishwa juzi, baada ya kufanyika maziko ambayo yalihudhuriwa na familia yake kwa njia ya mtandao. Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk Aziz Milima...
  10. N

    Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

    Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
  11. U

    Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

    Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video. Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
  12. Twitter inafanya majaribio kuwa na sehemu ya video inayofanana na Tiktok

    Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha. Twitter imetangaza mabadiliko mawili ambayo yanafanana kabisa na TikTok na Instagram Reels. 1️⃣ Twitter inaweka sehemu ya “Video...
  13. N

    Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

    Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga? Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule zanzibar aliona mbali sana Bugatti anaposema kwamba huyu ni mnafiki anaichukia yanga apingwe wewe...
  14. Sababu za kuacha kutazama video za utupu

    Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu yake au kompyuta yake. Hali ambayo sasa hivi upatikanaji wa taarifa umerahisishwa sana. Mtu anaweza...
  15. Video : Tayari goma la TRAB na TRAT limeingia mjini..!!

  16. Je, una mtu mwenye ujuzi wa 'Graphics & Video Editor' ?

    Graphics & Video Editing Your profile: Strong communication skills with the ability to discuss any issues with a wide variety of individuals and groups Capability to produce content on time, with attention to detail, and an emphasis on identifying and pitching to a target audience A...
  17. Instagram kuruhusu video za dakika 1 kwenye Insta Stories

    Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za Instagram zingegawanywa katika klipu za sekunde 15 lakini jukwaa linalomilikiwa na Meta linasema...
  18. Mbeya: Viongozi wa dini waongoza maombi ili kuzuia ajali Inyala

    Hi gentlemen and ladies! Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya. Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani. Ina maana wataalamu...
  19. Video: Wabunge Tanzania wajitutumua kwenye kingereza

    Hongereni...
  20. Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…