video

  1. Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
  2. Video: Natural Disasters (Nov.19.2023)- Flood in Mecca, Earthquake in Turkey, Snowfall in Europe

    Natural disasters wreak havoc worldwide, causing widespread damage, loss of life, and displacement. Torrential rains caused severe flooding in the Dominican Republic, the Philippines, Dubai, Santa Katarina, and Hugh, leading to evacuations, fatalities, and transportation disruptions. Ethiopia...
  3. Biashara kuchukua video kwenye maharusi

    Naomba kuuliza ile camera inayotumika kuchukua vidio mbalimbali kwenye events kama maharusi,misiba, etc inauzwa sh ngapi pamoja na stand yake na je inalipa?
  4. M

    Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  5. Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wanakwisha Kwa ajali - video

    Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
  6. Nape ni mdau wa pilau, amefollow ukurasa wa ngono

    Mheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau 😂😂😂 credit by spana konk
  7. Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

  8. Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

    Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia. Sasa bhana hii ni short...
  9. Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

    Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana. Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
  10. D

    Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

    issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why? BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii...
  11. Video: Stendi mpya ya mabasi mwenge yakamilika tayari kuanza kutumika

    Hongera sana Serikali Kupitia Manispaa ya Kinondoni Kwa kujenga Standi Mpya na nzuri kama Airport Terminal. -- Stendi mpya ya Mwenge imekamilika kwa 100% na itaanza kufanya kazi rasmi baada ya taratibu nyingine zikiwemo za upangishaji wa fremu kukamilika. Mwandishi wa @AyoTV, , Bakari...
  12. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  13. M

    Nimecheka kwenye hii video mpalestina alivyofurahi Waisrael kuvamiwa na sasa analia

    Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule. Allah is nowhere to be seen kala kona.
  14. Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

    Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
  15. U

    Video: Mbinu hii ya Katibu Mwenezi Makonda haikumsaidia Magufuli na haitamsaidia Rais Samia kamwe!

    Courtesy: Ansbert Ngurumo with SK Media Online TV ==================================================== Kwa muhitasari: ✍️Ansbert Ngurumo anasema, Paul Makonda anakwepa kutoa dira na nini atakifanya kwa kuzingatia majukumu yake ya kikatiba Kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi - CCM na...
  16. Video Clip: Fumbo la Ndoa

  17. Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  18. TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  19. Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
  20. Video: CHADEMA yatangaza mapumziko ya #255KatibaMpya, yawapa baraka Wanafunzi wa darasa la nne

    Video: CHADEMA yasimamisha oparesheni #255KatibaMpya kupisha mitihani ya darasa la nne
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…