video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Jamaa kayachokoza kayapata hajui afanyeje baada ya kutumiwa video

    Ila haya maisha 🤣🤣🤣
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

    Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana.. Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Akimaliza anatuma na yakutolea

    Akimaliza kupiga Tangazo mwamba anamtumia Demu wake na yakutolea, lakini unaweza kukuta Demu hata hamjali kivileee!
  5. JamiiForums Tanzania Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni. Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela. Udhalilishaji...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  8. JamiiForums Tanzania Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  9. JamiiForums Tanzania Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  11. JamiiForums Tanzania Video, Capture of day! Pumzika kwa Amani captain.

  12. JamiiForums Tanzania Video: Utakula au hutokula?

    Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula?
  13. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuokolewa na Tukio la Happy Birthday to you?

  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Itakuwa vyumba vimejaa

  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  17. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  18. JamiiForums Tanzania Ebooks,softwares and video course

    Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook that consists of more than 200 google drive links which each consists of a specific computer course...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Mwana kawatelekeza wenzie kwasababu ya Namba

  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma lililokuwa limeegesha barabarani kwa kuharibika. Ajali hiyo imetokea wilayani Iramba leo alfajiri 10:30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…