vichwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hii elimu kwa watoto wa kiislamu namna ya kukata vichwa, haifanyi kuwa makatili

    Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke? Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa Kikristo hawajifunika Vichwa vyao? Au sio dalili ya heshima kwao?

    Rebeka na Kitambaa (Mwanzo 24:64-65) Rebeka, alipoenda kukutana na Isaka, alichukua kitambaa na kujifunika uso: "Rebeka akainua macho yake, alipomwona Isaka, akashuka juu ya ngamia. Akamwuliza mtumishi, 'Mtu huyu aendaye kondeni kutulaki ni nani?' Mtumishi akasema, 'Huyu ni bwana wangu.' Basi...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanawake wanajua hawana kipato lakini wanacheza michezo ya hela

    Baadhi ya wanawake ni vichwa mwenge, Huna biashara yoyote halafu unacheza KIBATI sasa utapata wapi pesa ya marejesho kama sikufungua milango ya ufisadi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Treni ya EMU ina Vichwa Mbele na Nyuma?

    Wataalama wa mambo ya treni, mje kunijuza ni kwa nini treni ya mchongoko (EMU) inatumia vichwa viwili kimoja mbele na kingine nyuma? Kwangu naona ni gharama zinazoepukika ikiwa kuna uwezekano wa kutumia kichwa kimoja.
  7. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  8. jey n

    JamiiForums Tanzania Nauza trailers na vichwa vyake kama chuma chakavu

    Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  10. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

    ⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watoto sio wazembe wala wavivu au vichwa vigumu wana ‘learning disabilities’

    Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao maendeleo yao shuleni kwenu yako chini sana hayalingani kabisa na umri na watoto wa rika lake...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini dini zinazataka wanawake kuvaa vitambaa kufunika vichwa vyao?

    Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  14. Maganjila tz

    JamiiForums Tanzania CCM ina watu Vichwa sana

  15. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Kidogo nimpige vichwa huyu Daktari

    Umri umeenda, upara umeanza kuninyemelea, naamini ni jambo la kawaida, sasa leo nimekutana na jamaa tulisoma nae, alikuwa na vijiakili vya darasani sasa amekuwa daktari wa binadamu. Baada ya kuniona akaniambia natakiwa niache punyeto maana inanizeesha, aloo hasira zilipanda kidogo nimrukie...
  16. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

    Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani alikuja na huu Utaratibu wa Kimasikini na wa Kishamba ndani ya Vichwa vya baadhi ya Watanzania?

    Sijui ni lini hii Poverty Mentality itaondoka ndani ya Vichwa vya Watanzania. Yaani unakutana na Mtu ana Simu ya Thamani Kubwa sana na ya Kisasa ( tena Boss mahala fulani ) halafu tena unamkuta ana Kasimu ka Shilingi Efu Aobaini au Elfu Thelathini na ukimuuliza kwanini ana hiyo Simu atakujibu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    TAARIFA KWA UMMA KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024 Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa ufafanuzi huu wa TBC atueleweshe na sisi wenye vichwa vigumu

    Hebu someni hii
Back
Top Bottom