vichwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

    Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ukipuuzia Vichwa, Kesho Utahukumu Kichaa

  3. T

    JamiiForums Tanzania Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

    Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa 2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za...
  4. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Jose Mla vichwa ni hatari.

    Dah huyu jamaa anakula almost kila kiumbe kinachopita mbele yake, iwe chatu, paka, panya, kenge nk Japo asilimia kubwa video nyingi anapost anakula kenge na panya. Anakuja kwa kasi sana kwa sasa naona ameshaanza kupata wafuasi kadhaa, ule uoga na kinyaa cha watu kula panya umeanza kuondoka...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

    Hawa wamepenya kamati za wilaya 1. Nape Nnauye jimbo la Mtama 2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini 3. Baba Levo kule Kigoma Mjini 4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini 5. Paul Makonda Arusha Mjini 6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi 7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki 8. Aggrey...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Mufti hatimae afika kwa Mtume, apongeza watu kukatwa vichwa na kufungwa

    Katika kilele cha maadhimisho ya uzinduzi wa kanisa la mtume mwamposa! Mbele ya Rais mwakilishi mufti amesema anaunga mkono watu kupotezwa, kutekwa na kukatwa vichwa ili amani iendelee kuwepo! Apongeza kazi ya MTUME kuwaalika kushiriki katika hafla hiyo ili kutoa neno hilo aliloagizwa na mufti...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya Habari Vya Magazeti hapo Kesho

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Mwananchi "Furahisha yamfurahisha ndugu BENSON MASALA MAKALI SINGO KIGAILA" NIPASHE "Oparesheni C4C (CHAKA FOR CHAKA) Yaanza Kwa Kishindo Jijini Mwanza" MWANAHALISI "Mrema na wenzie waambulia aibu katika Viwanja vya Furahisha" MAJIRA...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ?

    Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ? Mfano wale ndugu zetu wa kale kanchi kadogo. Jaku boy n.k
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

    Wakuu Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumechoka na huu mfumo, Bunge limejaa vichwa feki, nchi inateketea!

    let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea kama watoto wa darasa la kwanza – and we sittin’ here acting cool? HELL NO! Tuna wabunge wanaojiita...
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  15. A

    JamiiForums Tanzania UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
  17. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vichwa Panzi wanaaminiwa sana na kuheshimiwa ila watu wenye akili na hawazitumii wanadharauliwa?

    Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa. Wanaitwa Washamba. Wanadharauliwa. Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi. Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha familia. Wakitaka kuchangia popote kwenye kikao wanaambiwa subiri amalize yule pale kichwa panzi mmoja wewe...
  18. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Tujitayarishe Wakristo, Jitu la Vichwa vitatu linakuja!

    2 Esdras 12:22-32, three heads that are asleep represent three kings who will rule the world in the last days of the empire. These kings will restore much of the empire, but rule with more harshness than any before them.
  19. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Putin & Trump wamejaa kwenye vichwa vya habari Leo!

    Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana. Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Msaada, Mashine ya Embroidery Vichwa Vitatu

    Kwema wakuu? Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu. Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu? Kwa maana nyingine naulizia duka linalouza mashine kwa hapa Dar. Asanteni
Back
Top Bottom