Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi
Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka Medellín, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake binafsi.
Bustani ya kijani na bwawa la kuogelea? Mbwa wakali? Twiga? Hayo yalikuwa ya matajiri wa...
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...
Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika.
Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima.
Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya kama Taifa halafu bado anaongea lugha nyepesi ambayo watawala wanapuuza. Kwa muda huu tunahitaji zaidi...
Hi there, I'm bored at here ukijumuisha na matukio yanayoendele kwa viongozi wa serekali yetu nikaona nishee nanyi baadhi ya vita vilivyoanzishwa na na viongozi wa nchi ambapo ukifikiria sababu za kuanzishwa kwa vita hivyo ni kutokana na viongozi kua na matumizi mabovu ya uongozi na mabavu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza!
Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe!
Hebu fikiria hivi...
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images
Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika eneo la mashariki mwa DRC, wameripotiwa kufa kutokana na sumu ya kimeta, msimamizi wa mbuga hiyo...
Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada Tajwa hapo juu.
Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto.
Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...
Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa,
Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi.
ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika...
Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi kufungwa katika Mti na kuadhibiwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha kupata majeraha...
MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia.
Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.