Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti.
Anaitwa โ๐ฝ๐ช๐๐ค๐ฉ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐จ๐ช๐ฃ๐๐ฌ๐โ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha โdawa ya Misungwiโ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...