vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

    Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje? Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
  2. Kichuguu

    Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

    Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
  3. Tajiri Tanzanite

    Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  4. Nyankurungu2020

    Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  5. R

    Jaji hajui tofauti ya session na seatings? au amenukuliwa vibaya

    Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri, kuzifundisha...and lastly kuzitumia....having higher mental faculty of reasoning! Kutoka.mtandaoni...
  6. Chizi Maarifa

    Taifa leo linaenda kuaibishwa vibaya sana

    Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
  7. Idugunde

    Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  8. M

    Wananchi: Kuzimwa kwa intaneti kote nchini wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha

    Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
  9. Red black

    Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  10. MamaSamia2025

    "Kuji-brand" ni kitu kinachowatafuna wasanii wengi kimyakimya na kuja kuumbuka vibaya kama mkubwa Fella

    "Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
  11. MamaSamia2025

    Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  12. The Father of All

    Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na Serikali mbovu na hatari na yenye Waziri Mkuu mbovu kama Mwigulu

    Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na serikali mbovu na hatari na yenye waziri mkuu mbovu kama huyu ila sasa. Jamaa linaongea utadhani kinywa na ubongo havina mawasiliano. Kila anachoongea ni uongo na stori za kijiweni tena kijiwe chenyewe cha washamba. Eti, msione hivi kuna watu wanatuonea...
  13. Pakome

    Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  14. M

    Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  15. L

    PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  16. Stuxnet

    Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  17. Kubwjing

    Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Habarini Wakuu, Arusha yameanza matukio ya vita ya mawe kwa risasi kati ya Raia na Polisi. Asubuhi ya leo katika hospitali ya Kaloleni amekuja askari anayevuja damu akiwa ameumia vibaya sana kichwani. Sambamba na hilo, maeneo ya Tengeru kuja mjini askari wamekuwa wakipiga risasi ovyo ila...
  18. Griss

    December 9 imekaa vibaya Sana kwa Wanamtandao

    Wanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataanguka walala hoi pekee? Nawaambia tawi likikatika wakwanza kudondoka Ni mafisadi. Wananchi hasa vijana hatuna Cha Kupoteza Endeleeni kushupaza shingo muone tunavyoenda kuwashughulikia Yaani mpaka sasa bado tu hamjui vijana ndani ya mfumo...
  19. Sumbaye

    Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
  20. covid 19

    PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

    Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku. Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu...
Back
Top Bottom