Heshima yenu wakuu.
Niko Zanzibar kwa siku kadhaa sasa na nimekuja kwaajili ya kutafuta ridhiki. Naomba tips/muongozo kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata kazi/kibarua na itapendeza zaidi malipo yakiwa ni kwa siku maana sina makazi.
Lengo langu ni kuwa na kazi mbili; moja ya kuifanya asubuhi...
Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna fundi anaweza ni push ili maisha yaende
Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu,
Inafahamika wazi kabisa kwamba...
Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa.
Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
Anonymous
Thread
duni
kazi
kufanya
kufanya kazi
maslahi
sgr
vibarua
wamegoma
wazawa
👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa.
👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA.
👤 UWE NA...
Habarini ndugu wana JamiiForums,
Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi?
Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga".
Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
Wakuu habari za mchana,
Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono.
Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
Wakuu,
Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
Habari wakuu
Naomba niwasilishe hii hoja kwenu.
Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya.
Lakini mshahara huo sio hoja...
Habari wna bodi
Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji wanasubiri mvua ndo walime wale wawekezaji mahindi yao yaanaanza kuchanua. Kwa hali hii ikiendelea miaka...
Habarini wakuu,
Naombeni msaada kujibiwa swali hili
Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali.
Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako
Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi.
Sasa hivi vibarua hao...
Kiwanda kikubwa cha uzalishaji soda za Pepsi, Seven Up, Mirinda, Mountain Dew n.k ambacho ni cha kanda ya kusini nyanda za juu SBC Mbeya Plant (Pepsi) kinaudumia takribani mikoa 3 au 4 yani Ruvuma, Iringa, Njombe na Mbeya yenyewe.
Vibarua wa kutwa wanalipwa 4,600/ kwa masaa 12 ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.