vazi

Vazi (Persian: وازی‎, also Romanized as Vāzī) is a village in Mazu Rural District, Alvar-e Garmsiri District, Andimeshk County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 25, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

    "Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu NB- 2004-2005...
  2. Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

    Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno. Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao...
  3. Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

    Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha Sijui kama Makolo...
  4. B

    Baadhi ya viongozi Serikalini ni vibaka waliojivika vazi la uongozi

    Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla. Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
  5. Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

    Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani. Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake...
  6. Vazi la dela lina vyote ustaarabu na uchafu

    Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
  7. D

    Wadada hili vazi ni kwa ajili ya nini haswa?

    Women are very complex
  8. N

    SoC03 Uongozi na vazi lake

    Uongozi ni jambo jema sana ndiyo maana uongozi upo ndani ya watu wote, na uongozi ni rafiki na shughuli za wanadamu. Uongozi kwangu ni mamlaka ya kusimamia na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha palipo kusudiwa pafikiwe. Kuna uongozi wa aina mbili au tatu. Kuna uongozi wa kuchaguliwa, kuteuliwa...
  9. Learned Sister, hili vazi ni sawa kweli?

    Huwa nawaheshimu sana wanasheria kwa mavazi yao, hasa kwenye official functions. Huyu Mwanasheria Msomi Learned Sister , Adv. Winnie Kawandakamu kavalia jeans kwenye official function. TLS na wanasheria mliomo humu mtujuze, huyu dada hajakiuka utaratibu wa mavazi kweli? Ila niseme ukweli tu...
  10. Pongezi za dhati zimfikie aliyegundua vazi la kanga kwenye hiki kipindi cha mvua

    Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa. Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni water proof akikatiza chocho hadi chocho kwenye mvua kali ujue ni mimi. Nafanya tathmini ya vazi hili...
  11. Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
  12. Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  13. J

    Nashauri hili ndio liwe vazi la taifa, tutaokoa fedha na gharama

    Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
  14. Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  15. Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  16. Mchengerwa ateua Kamati Maalum ya kuratibu Vazi la Taifa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ateua kamati maalum kwa ajili ya kuratibu upatikanaji wa vazi la taifa. Zaidi soma:
  17. Akajifunga vazi lake, akajitupa baharini

    AKAJIFUNGA VAZI LAKE, AKAJITUPA BAHARINI. Bwana Yesu asifiwe. Ulishawahi kulitafakari kwa ukaribu lile tukio, ambalo Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura nyingine, walipokuwa baharini wanavua?. Utaona muda wote aliokuwa anazungumza nao wasimtambue Petro alikuwa uchi, Lakini Yohana...
  18. 1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
  19. B

    Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  20. Vazi Rasmi la siku ya Katiba ( Katiba day ) latajwa , Washiriki waanza kugawiwa

    Katika jambo lolote kubwa na lenye Maslahi ya Kitaifa , huwa kunakuwa na Alama Maalum zinazoitambulisha siku hiyo Maalum pamoja na ukubwa wake . Taarifa inaeleza kwamba Vazi rasmi lililoteuliwa ni TSHIRT NYEKUNDU na SURUALI NYEUSI , taarifa hiyo inaendelea kueleza kwamba tayari baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…