var

The video assistant referee (VAR) is a match official in association football who assists the referee by reviewing decisions using video footage and providing advice to the referee based on those reviews.

The assistant video assistant referee (AVAR) is a match official appointed to assist the VAR in the video operation room and around the pitch. There are 3 AVARs (AVAR1, AVAR2, and AVAR3) that are assigned to different parts of the game that they are charged with reviewing, and are in consistent communication with the VAR about possible situations that might warrant further review. The job of the AVAR1 is to watch the main camera and communicate some of the more obvious offenses within the game. The AVAR2 is located at the offside station and are responsible for assisting the VAR with offsides and reporting possible missed offside calls. The AVAR3 is responsible for monitoring the TV programs and assists in communication between the AVAR2 and the VAR since the AVAR2 is at the offside station.
  1. Shark

    Tuelewe kwanza ufanyaji kazi wa VAR

    Kwema Wakuu, Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama Penalty ilikua halali ama lah, bali nitajikita kwenye matumizi ya VAR tu. Katika Mchezo huo timu ya...
  2. M

    Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  3. Kipenzi Changu

    Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  4. N

    Kamati ya mapokezi yajipanga kupokea VAR

    Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume...
  5. Ghazwat

    VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi...
  6. JanguKamaJangu

    VAR yaibiwa Nigeria baada ya mechi ya kufuzu World Cup 2022

    Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo. Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
  7. John Haramba

    TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  8. Burungutu lebba

    V.A.R inawezekana Tanzania bila gharama wanazozitaja wao

    Wadau habari zenu, Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea mijadalla hii kifika mbali hadi serikali kutaka kuweka var ili kuepusha mapungufu hayo ya waamuzi...
  9. kavulata

    Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

    Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini. Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
  10. Kipenzi Changu

    Dauda: VAR itawekwa kwa miundombinu ipi?

    Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza kufanyika baadaye sana. Ni wazo zuri kufunga VAR lakini kwangu wazo zuri zaidi kwa sasa ni kuwekeza kwenye...
  11. John Haramba

    Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  12. kavulata

    Shida yetu viwanjani ni VAR sio waamuzi

    Hata wazungu waligundua kuwa tatizo lao sio waamuzi wazuri viwanjani bali technology ya kufidia mapungufu ya kibinadamu katika kuona na kufanya maamuzi kwa matukio yanayotokea kwa haraka sana. Tutaendelea kuwalaumu bure waamuzi wetu. Hata wakosoaji wanatumia fursa ya kuangalia tena na tena...
  13. A

    Ombi kwa TFF kutumia marudio ya matukio ya Azam kama VAR kwenye matukio Tata

    Habar wadau wa michezo, Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi wetu screen ndogo ambayo inakua imeonganishwa moja kwa moja na kifurush cha Azam ili kama linatokea...
Back
Top Bottom