var

The video assistant referee (VAR) is a match official in association football who assists the referee by reviewing decisions using video footage and providing advice to the referee based on those reviews.

The assistant video assistant referee (AVAR) is a match official appointed to assist the VAR in the video operation room and around the pitch. There are 3 AVARs (AVAR1, AVAR2, and AVAR3) that are assigned to different parts of the game that they are charged with reviewing, and are in consistent communication with the VAR about possible situations that might warrant further review. The job of the AVAR1 is to watch the main camera and communicate some of the more obvious offenses within the game. The AVAR2 is located at the offside station and are responsible for assisting the VAR with offsides and reporting possible missed offside calls. The AVAR3 is responsible for monitoring the TV programs and assists in communication between the AVAR2 and the VAR since the AVAR2 is at the offside station.
  1. Bila bila

    JamiiForums Tanzania TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bongo Fm ya TBC mnaogopa nini kumtaja aliyeleta VAR ya Gharama kubwa sana?

    Hawa vijana wa Bongo Fm sijajua ama Kwa kusahau ama Kwa kuona si muhimu wamerusha taarifa hii Kwa kuweka kipande tuu Cha maneno ya Mh waziri Mkuu. Najiuliza sana kipi kinawatisha kumtaja aliyetoa VAR?
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni trillion 88 na hakuna bajeti ya VAR

    Nimeamini kenya Ni taifa kubwa kwa nyanja zote za siasa na uchumi na mamb ya kijamii kwa kuitazmaa bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46 Taifa Lina ekeza kwenye mamb ya .msingi sna hakna blaa blahaa Kama huku kwetu serkali inasamehe Kodi kwa vitu vya kipuuz na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC

    Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
  5. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

    Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?! note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo...
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  10. Mayu

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli So...
  11. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  12. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

  13. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Happy birthiday Collina(the VAR himself)

    Tulisahau kukuwish tarehe 13 tulikuwa na mambo ya msiba. Heri ya kuzaliwa kwa mwamuzi bora zaidi katika historia ya soka Ulimwenguni, Pierluigi Collina ametimiza miaka 64 leo. 🎂🇮🇹🤝 Mwamuzi huyu anaongea lugha nne (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano, na Kiingereza). »Kabla ya kila mchezo...
  15. maroon7

    JamiiForums Tanzania Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji aina ya refa kama yule aliyechezesha mechi ya Zambia na Congo, Januari 17, 2024

    Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty. OK kibinadamu akataka kuhadaika wachezaji pinzani wakamfwata wakamkomalia tunaomba VAR, refa kapeleka mpira...
  17. S

    JamiiForums Tanzania VAR inathibitisha waamuzi wengi ni wabishi na zaidi wanafanya makosa sana katika maamuzi yao

    Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa yanayogharimu timu nyingi katika michezo mingi. Pia, inathibitisha kuwa wachezaji wanapomzonga refa, mara...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania VAR hatuna basi tutumie TV re-play viwanjani kwa Sasa

    Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC nusura lilete dhahama pale kiwanjani. Na yapo matukio mengine ambayo kwa wanaoangalia replay wako...
Back
Top Bottom