uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Tubadilishane uzoefu kidogo

    Nini mazuri au madhaifu ya wanaume wafupi? Wenye uzoefu na short kings njooni mtujuze. CC: nakwede97 ⋆ Aaliyyah Leejay49 ⋆ Ms Billionaire Sister Abigail ⋆ Bantu Lady realMamy ⋆ Qashy Lilith Atoto ⋆ Niwaheri Lamomy ⋆ To yeye Msweet ⋆ Chujio Demi ⋆ ledada Midekoo ⋆ Carleen ABJ magwamaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa wazoefu wa masuala ya elimu

    Naombeni msaada wa kupewa ushauri Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9 Matokeo ya masomo yake MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A, GEOGRAPHY A, HISTORY A, PHYSICS B, CHEMISTRY B, KISWAHILI B,CIVICS B LITERATURE IN ENGLISH B Yeye...
  3. JamiiForums Tanzania Matumizi ya hii gari kwa mafuta hapa Dar. Kwa uzoefu

    Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja? Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
  4. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  5. JamiiForums Tanzania Uzoefu wako nchini Mauritius

    Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na biashara.karibu.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naombeni ufafanuzi

    Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa vp huu unafaa ili niagize?
  7. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu Bima ya afya ya Vodacom

    Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa hekima 7 za uongozi mwaka 2024 na za kwenda nazo mwaka 2025

    Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi. Twende sasa moja kwa moja kwenye mada yetu ya niliyocopy and na kupaste. HEKIMA 7 ZA UONGOZI...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kudate na persian girl humu anipe uzoefu?

    Habari ndugu zangu. Girl ni wa ki persian pure, kwao Tehran ila yupo bongo kwa muda. Tumekuwa marafiki na nahitaji muongozo kutoka kwenu ili niliwakilishe vema taifa. Asanteni.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na rain gun

    Nahitaji rain gun yenye radius ya kurusha maji metres kuanzia 40 hadi 60. Inauzwa bei gani
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu waliotumia boom kutoboa kimaisha watupe uzoefu waliwezaje? Au it's impossible

    Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Je una uzoefu gani kwenye usafiri wa mabasi?

    Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na urahisi huu wote, bado tunakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ucheleweshaji, ajali, na...
  14. JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  15. JamiiForums Tanzania Wenye kuzijua hizi "Turntable Speakers" naombeni ushauri.

    Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced? Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kayandabila: Uchaguzi hauna uzoefu, fuateni mafunzo ya Uchaguzi wa mwaka huu

    Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
  18. JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye analima Papai atupe uzoefu wa soko la papai

    Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine soko lake likoje,,? Hayaozei shambani kweli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…