uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzi maalumu : Elezea kero unazo kumbana nazo / maoni yako kwa watoto walio zaliwa mwaka 2000 na kuendelea

    Ndugu zangu.. Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kuelezea kero unazokumbana nazo kutoka kwa watoto waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea ,pia unatoa fursa ya kuweka maoni yako ni nini hasa kifanyike kuokoa kizazi hiki maarufu kama kizazi cha buku mbili ili kirudi kwenye maadili sahihi ukizingatia...
  2. M

    Uzi maalumu wa kuagiza magari toka Japan na mikopo yake

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  3. Uzi maalumu wa kumuambia chochote Lucas mwashambwa

    Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
  4. GE2025 Uzi maalumu: Shuhuda mbalimbali uchakachuzi wa kura kutoka kwa Mwakala wa Uchaguzi

    GT Kinachoendelea ni maajabu ndugu zangu hakuna mtu kapiga kura nina shuhuda zifuatazo. 1. Dar tabata mawakala wamekimbia vituo.sa4 asubuhi hakukuwa na uchaguzi 2 Singida kituo kimoja waliojiandikisha 1000 waliopiga kura 50 wamepewa maelekezo wajaze 800. 3. Meatu huko kituo kimoja...
  5. Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

    Mzuka wana Jamvi ? Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
  6. Uzi Maalumu Wa Video Za Kuelimisha

    Wapendwa hapa nitakuwa napost video mbali mbali ambazo zitakuwa na manufaa na kuelimisha mambo mbali mbali ya kila siku Leo tuanze na hii:
  7. X

    UZI MAALUMU: Ballon d'Or

    Maisha hayana formula kabisa Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé Msimu huu ni mchuano mkali kati ya janja machachari Lamine Yamal na Ousmane Dembélé
  8. U

    Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  9. Mwendelezo wa 2018: Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika ujasusi wao

    Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/**** Nawarudisha nyuma Kidogo Tuna sababu za kuilinda nchi yetu, Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
  10. Uzi maalumu wa memes

    Uzi huu ni special kwa memes za picha na maandishi , karibuni
  11. Uzi maalumu wa emoji tu🧢🧢🧢🧢

    Uzi huu ni wa emoji tu kuchati kwa emoji🐷🐷🐷🐷
  12. T

    UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
  13. Uzi maalumu wa kuchagua mkoa unao penda uishi 🤑😎 TUAMBIE ni mkoa gani unapenda uishi kwa sababu ya maslahi yapi

    Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali ya maisha, huduma nzuri za JAMII nk Tuandukie APO CHINI KWENYE COMMENT SECTION unapenda ungeishi...
  14. Uzi maalumu kwa wahitimu wa chuo 2025

    Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri. Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo Toa experience Toa maoni Toa mawazo yoyote kuhusu maisha baada ya kuhitimu chuo . Majobless...
  15. L

    Uzi Maalumu Kwa Ajili ya Matukio Yote Ya Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu Za Ubunge Kupitia CCM 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
  16. Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  17. Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  18. Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  19. T

    Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  20. Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…