Ndugu wanajamii wa JF,
Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu.
Katika ardhi hii ya kheri, tuliyoirithi kwa jasho na damu ya wazalendo, kuna maajabu yasiyoandikwa vitabuni wala kueleweka...