uwezo

  1. Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  2. Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  3. Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  4. Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

    January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030. Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana...
  5. K

    Kwanini huwa tunawapa Uongozi watu ambao hawana uwezo wa kutuongoza?

    Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo. Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo...
  6. F

    Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma. Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya...
  7. N

    Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

    Kufuatia uvumizi wa urusi ndani ya ardhi ya jirani yake ukraine dunia imeshuudia kwa mara nyingine sura halisi ya uzalendo na uwezo wa watu kulinda uhuru wao. Kwa sababu zake mwenyewe wengi walitarajia compaign ya babu putin ingeweza kufanikiwa mapema ikizingatia uwezo wa jeshi lake katika...
  8. Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  9. Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  10. Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

    Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini...
  11. FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  12. M

    Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

    Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland. Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na...
  13. Ibrahim Ajibu tatizo ni uwezo umefikia ukomo au Azam FC?

    Ibrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani. Hilo ilitimia kwa kiasi fulani...
  14. Fahamu mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani

    Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki. Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
  15. Hivi AU ina uwezo kuitisha mkutano wa nchi zake na na nchi za EU kwa agenda yake au sisi huwa tunaitwa tu kwa agenda za wakubwa?

    Kuna hii kitu unakuta nchi tajiri kama marekani, japan ufaransa, au china zinaitisha mkutano na viongozi wa afrika. Bila shaka ni kujadili agenda za maslahi kuhusu nchi hizo tajiri. Hivi karibuni tumeona european union na wao wakiitisha mkutano na viongozi wa afrika. Sasa utaona viongozi wote...
  16. Wadau tupunguze bajeti ya pombe, tusaidie ndugu na majirani wasio na uwezo. Hali mtaani ni ngumu sana

    Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight. Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule. Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku. Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi...
  17. Je, wajua kuwa unaweza kuongeza uwezo wa RAM kwenye simu yako?

    Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature inawezesha video kuwa clear na steady, maana yake unaweza kurekodi video hata kama upo kwenye movement...
  18. Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

    Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu. Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko...
  19. B

    Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
  20. Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…