DJ Khaled ana uwezo wa kumiliki hii ndege?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Angalieni hii video.

Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki? Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake!

Drake mwenyewe siamini kama lile dude ni lake, hawa wasanii wana smoking mirrors sana. Unakuta wanaingia mkataba na kampuni yenye ndege ya mizigo halafu inakuwa inapiga mishe zake wao wanaichora tu kwa nje, halafu wananunua masaa ya safari za kujionesha tu.

Hii ndege hata $mabillionea inawasumbua.

Angalieni hii video.
Khaled anaweza hizo gharama za utunzaji, gharama za kupaki?
Aah kwanza huko mbali, bei ya hizo ndege ni $100M-200M, eti anataka awe kama Drake!

Drake mwenyewe siamini kama lile dude ni lake, hawa wasanii wana smoking mirrors sana. Unakuta wanaingia mkataba na kampuni yenye ndege ya mizigo halafu inakuwa inapiga mishe zake wao wanaichora tu kwa nje, alafu wananunua masaa ya safari za kujionesha tu.

Hii ndege hata $mabillionea inawasumbua.
View attachment 2395995
Ukisikiliza hiyo video hajasema kwamba ni yake. Hiyo ndege itakuwa ya kukodi. Kumiliki ndege kubwa kama Boeing au Airbus is not a joke, mabilionea wachache kama Donald Trump, Prince Waleed al Talal na waanzilishi wa kampuni ya Google ndio wanamiliki hiyo midege mikubwa. Wengi huwa wanamiliki ndege ndogo kama Gulfstream au Bombardier. Kwa wasanii wa muziki, Drake peke yake ana hilo dege.
 
Kasema anataka kununua....drake mwenyewe anakodi halafu anadanganya kanunua
 
Hapana mzee...Hata kipato cha Jayz ni ngumu kumiliki hilo dude...hilo dude ni pocket breaker, even for billionaires

Si kweli ,DJ khaled hawezi shindwa kununua hilo Boeing achilia mbali Jigga...Hao watu wana mitonyo sana ,usd 100m hadi 300 kwao ni vitu vidogo.
 
Si kweli ,DJ khaled hawezi shindwa kununua hilo Boeing achilia mbali Jigga...Hao watu wana mitonyo sana ,usd 100m hadi 300 kwao ni vitu vidogo.
Khalid hapa kwanza tumtoe hana hela, hata jigga mwenye 1Billion kumbuka zote sio liquid, nyingi zipo kwenye assets and stocks..
Kwahyo hela liquid aliyonayo itakuwa kwenye million mia kadhaa.
Sasa kununua dude la million 200 halafu uendelee kulihudumia million 70 kwa mwaka, lazima ufirisike.
Mzee hayo madude labda uwe na 10B kuendelea ndio utakuwa nalo comfortably.
 
Back
Top Bottom