uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wadadisi wanawaza kuna uwezekano Putin ni pandikizi la Marekani, ameiharibu Urusi

    Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika. Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  3. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna uwezekano wa kutumia satelaiti kudhibiti uhalifu?

    Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana". Kama tukio limetokea Magali basi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano TotalEnergies ndio kampuni inayoongoza kwa upendo wa dhati? Shuhudia upendo wa TotalEnergies kwa Watanzania kila siku za Valentine's

    Wanabodi, Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta ya TotalEnergies ikawa ndio kampuni inayoongoza kwa upendo kwa Watanzania?. Ni kufuatia upendo kwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  8. JamiiForums Tanzania SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

    Wadhamini wa Yanga hawana imani na timu yao
  9. JamiiForums Tanzania Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  10. JamiiForums Tanzania kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  11. JamiiForums Tanzania Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mayele akapewa uraia Argentina

    Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku upande mwingine mayele akizidi kutupia kila mechi zaidi ya goli moja au mbili. Ingawa...
  14. JamiiForums Tanzania Tujiandae kisaikolojia upo uwezekano mkubwa wa mafuta ya diseli kupanda bei baada ya Saudi arabia kutangaza kukaribia kuishiwa mafuta

    “Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.” Nasser warns that oil prices...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kuwa zaidi ya mtu mmoja?

    Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza. Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja? Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa kombe la dunia Qatar kuhairishwa

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein. Hii itasababisha vita ya...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Mahakama Kuu ikafuta ushindi wa Ruto-, Angalia makosa ya Kimahesabu yaliyofanywa na IEBC katika Video hii

    Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
  20. JamiiForums Tanzania "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

    Wanabodi, Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa! leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…