Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, βSasa hivi zimefikia shingapi?β
Nikamtazama, nikatabasamu kisha nikamwambia, βTsh 800 kwa hisa, sawa na ongezeko la 100%... na hapo hujaweka...