Wisdom Flag
Member
- Oct 16, 2018
- 28
- 18
Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu.
Nilikiwa nina wazo la kuinvest katika upigaji picha chuoni, naomba mnisaidie vifaa vya msingi kuwa navyo ni vipi na bei zake ikiwezekana camera gani itanifaa as beginner, pia nijue changamoto ambazo walionitanguliw huwa zinawakabili katika idea hii.
Bajeti niliyoipanga ni 1.2m
pia nilkiwa nahitaji kutengeneza simu na computer ya mazingira hayo japo qenye japo cjaendea darasan ila nina viidea fulan kuhusu simu na computer