Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,584
14,156
Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.

Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇

345.png
675.png
fg.png
 
Zaburi 12:1-5

[1]BWANA, uokoe, maana mcha Mungu amekoma,
Maana waaminifu wametoweka katika wanadamu.
[2]Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe,
Wenye midomo ya kujipendekeza;
Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
[3]BWANA ataikata midomo yote ya kujipendekeza,
Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;
[4]Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda;
Midomo yetu ni yetu wenyewe,
Ni nani aliye bwana juu yetu?
[5]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge,
Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji,
Sasa nitasimama, asema BWANA,
Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
 
Hongera zake.

Ila si bado hakijajengwa?.

Ila utoe na shukrani kwa awamu ya Tano ambayo Samia alikuwa Makamu. Ilijenga viwanda vingi vikiwemo ambavyo Samia mwenyewe alivifungua mwaka jana.
Hana cha kushukuru Kwa wale waliokuwa wamejaa propaganda uchwara..

Kakiwanda kamoja kelele mwaka mzima
 
Tanzania ya viwanda vya ukweli inazidi kunoga..

Video,Ujenzi wa kiwanda cha Sukari ukiendelea Kilombero 👇
 

Attachments

  • Mwarobaini wa upungufu wa sukari wapatikana, Uingereza waja kuwekeza kiwanda kikubwa cha sukar...mp4
    33.4 MB
Kazi inaendelea,kiwanda cha transfoma Kigamboni 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220913-204707.png
    Screenshot_20220913-204707.png
    127.6 KB · Views: 16
Safi sana.
"Tutaendeleza na kumalizia miradi aliyeturithisha J.P.M"


Bahati mbaya hakuna mradi ambao umeanzishwa. Ni muendelezo.

Awamu zote zilizopita na zinazoendelea(5) katika NCHI hii ni matokeo ya Ilani za CCM.

Ukweli ni Kuwa Ulaya inaenda kusambaratika.

Wachina wamerevuka baada ya kuona Duralax ikiporomoka Ulaya. Duralax ni mtengenezaji wa Gilasi mkubwa Duniani. Ukiwa baa angalia chini ya glasi yako ya bia inawezekana utaona hilo jina

This is a third scramble for Africa. Afadhali Mchina kuliko beberu wa kizungu.
 
Kiwanda cha Saruji Cha Bil.500 kujengwa Kigoma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-123538.png
    Screenshot_20220921-123538.png
    174.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220921-123610.png
    Screenshot_20220921-123610.png
    44.1 KB · Views: 13
Back
Top Bottom