uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  2. JamiiForums Tanzania Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la kuchochea mgogoro wa kivita katika Mashariki ya Kati. "Kwa mujibu wa tathmini zetu, Hezbollah...
  3. JamiiForums Tanzania Moshi: Uwanja ulijengwa na Mwalimu Nyerere ,Leo wasiojua wanaongea wasilolijua!

    Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote. Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya tunauhitaji wa uwanja wa kisasa

    Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa ndege cha Songea, Tsh. bilioni 40.87 zimetumika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

    Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza. Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa achangia milioni 15 kuboresha Uwanja, apongeza Dkt. Biteko kwa msaada katika Sekta ya Michezo

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ya mpira wa miguu ya KNK CUP 2024 yaliyotanguliwa na Bonanza la michezo mbalimbali ambapo amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko Kwa kuendelea kuunga mkono kwa kasi jitihada za Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza uwanja uliojaa kule Tripoli wanaona ni sifa

    Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa sana. Watu wanatafuta point nyie mnatafuta sifa za kijinga. Sifa za Mluguru kujisifia kagongwa na...
  9. JamiiForums Tanzania TFF ikiruhusu baadhi ya timu kutumia uwanja wa Mkapa katika preliminary rounds itakuwa upendeleo

    Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine...
  10. JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa nilizoziona katika ujenzi wa uwanja wa KMC Complex

    Pamoja na wazo jema la ujenzi wa uwanja wa KMC Complex, naomba nijikite kutoa kasoro kadhaa nilizoziona katika mradi huu. Kasoro zangu zitajikita katika maeneo yafuatayo: 1. Design 2. Gharama za matumizi 3. Ufinyu wa nafasi SEHEMU YA 1: DESIGN Ukiangalia design ya ujenzi wa uwanja huo umekaa...
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72

    Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39. Hayo yamesemwa leo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa fedha zilizotengwa nilitarajia uwanja wa Mkapa uwe na double LED - Perimeter display

    Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais angeachana na kulipa goli la mama akajenga uwanja wenye michezo mingi kama Olympic

    Nawasalimu, Wote mmesikia kuwa tuliwakilishwa na wachezaji kadhaa kwenye Olympic huko Paris France. Hakika hatukufanya vizuri na hawakurudi na medali hata moja. Nimejaribj kufuatilia nchi za wenzetu majirani hususani Kenya wenzetu wana training ground inaitwa Kasarani kama sijakosea. Hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  19. JamiiForums Tanzania Haya 'Kuku Brain Bado Tunatengeneza Kikosi Sports Club' vipi tumeshauzindika tayari Uwanja wetu tutakaoutumia uliopo Jirani kabisa na Kawe na Lugalo?

    Kwani za chini chini ninasikia Jamaa ambao wameshatuweza ndani na nje jana wamemalizana nao ili uwe Nuksi nasi.
  20. JamiiForums Tanzania Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…