Ilikuwa ni siku yenye mawingu mepesi sana na sauti za ndege zilikuwa zikisikika kutoka katika viunga vya chuo ambacho Katarina alikuwa akisoma.
Siku hiyo ilikuwa ndiyo siku ambayo wanachuo wengi akiwemo Katarina, walikuwa wakimalizia mitihani yao. Katarina na wanachuo wenzake walikuwa wakisoma...
UTANGULIZI
Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia, mambo mengi yanaanzishwa kupitia teknolojia hivyo inanafasi nyingi sana. Lakini wanawake waliopo...
Mnamo mwaka 2018 ni kiwa kwenye daladala nikiwa narudi nyumbani,ndani ya gari kulikuwa na watu wakilalamika juu ya kiongozi katika taasisi fulani,Watu hao walikuwa wanalalamika sana wakisema"Yule jamaa angekuwa anawajibika ipasavyo tungefanikiwa sana,anatukwamisha sana".Mara ghafla moja Kati ya...
Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
mzalendo kijana
siasa
siasa na uongozi
stories of change
story of change
story of change 2023
tanzania
utawala
utawala bora
utawala bora na uwajibikajiuwajibikaji
vijana na siasa
vijana na siasa uongozi
Utangulizi
Katika ulimwengu wa teknolojia, uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Matumizi ya teknolojia yanaweza kuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora. Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika nchini Tanzania kwa lengo la...
Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati lilizidisha uzuri wa mazingira.
Naam!hakuna ambaye angeliangalia bila kulimwagia sifa kedekede. Ndege nao...
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji katika utoaji wa maamuzi.
Ili nchi au taifa lolote liweze kupata maendeleo utawala Bora unahitajika...
Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi imepata maendeleo makubwa katika kuboresha uwajibikaji na utawala bora miaka ya karibuni. Hata hivyo...
Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
Nimepitia Wizara zote waliandaa kile wanaita seminaza kuwajengea Wabunge uelewa. Mfano Afya waliandaa kuhusu Elimu ya Bima ya Afya kwa wote, Madini Wiki ya Stamico, Ardhi Waliandaa kile wanaita Elimu ya Ubia kati ya NHC na sekta binafsi na siku za karibuni Nishati wao Wametia fora Kwa kuwa na...
Ukilinganisha na watu kutoka mataifa mengine ya Afrika Mashariki na Kati, watanzania sio wavivu kama inavyodhaniwa. Kinachokosekana tu ni mpango madhubuti na endelevu wa kuhimiza uwajibikaji miongoni mwao.
Baada ya kufanya utafiti wangu kimyakimya, nimegundua kuna jambo dogo tu linaloksekana...
Uzalendo na uwajibikaji ni mambo ambayo yanapaswa kwenda sambamba kwani moja likilegalega, jingine huenda mrama. Ili kujenga uzalendo wa dhati na wa kudumu katika nchi hii, ni lazima uzalendo huo uanzie kwenye uongozi wa juu. Katika familia, baba na mama wanapaswa kuwa mfano bora kwa watoto wao...
Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika taasisi za umma.
Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha...
Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi .
Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya Tanzania iwe ngumu kufikia utawala bora. Hizi ni pamoja na:
Rushwa:
Rushwa...
Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala wa mabavu. Pili, katiba ya sasa imejaa viraka vingi ambavyo viliingizwa kwa mihemko au kwa ajili ya...
Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii:
Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora
Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
Uwajibikaji ni jukumu muhimu katika ngazi ya familia. Kila mwanafamilia anapaswa kuchukua jukumu la kuchangia na kuhakikisha ustawi wa familia nzima. Hapa kuna maeneo muhimu ya uwajibikaji katika ngazi ya familia:
Uwajibikaji wa kifedha: Kila mwanafamilia anapaswa kuchangia katika mahitaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.