uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. medisonmuta

    Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
  2. M

    Dira ya Taifa ya maendeleo 2050 na uwajibikaji

    WanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii. Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi. Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na tunayoendelea kupata kwenye sekta za afya, elimu, usafirishaji etc tunatakiwa tuhakikishe huduma...
  3. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  4. M

    Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  5. tonicimmobility

    Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

    Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? a). Ambulance b). Gari ya zimamoto c). Kiongozi wa Serikali d). Watajipanga wenyewe? Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka Chanzo: Mwanachuo got talent
  6. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  7. SSH2025_2030

    Mhe. Balozi Ramadhan Omar Mapuri asisitiza uwajibikaji

    Rai imetolewa na Mjumbe wa Tume HURU Dr Cde Balozi Ramadhan Omar Mapuri kwa kuhimiza uwajibikaji.
  8. Genius Man

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  9. GENTAMYCINE

    Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  10. Fbn

    Kwa nini wenye uovu huogopa kuachia madaraka?

    Katika historia ya mataifa mengi, tumewaona watu waliopanda juu kwa ahadi za matumaini, wakaketi kwenye viti vya enzi, wakiapa kuwatumikia watu. Lakini baada ya muda, baadhi yao wakasahau. Wakasahau kuwa mamlaka si urithi, ni dhamana. Wakasahau kuwa madaraka si kinga ya kuendelea kuumiza, bali...
  11. Prof_Adventure_guide

    PreGE2025 Je, Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020–2025 Unathibitisha Uwajibikaji wa Kisera au Ni Taswira ya Uongo wa Kimuundo kwa Umma wa Watanzania?

    0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans  lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa. 209-1Zaidi, kulikuwapo...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: kusipokuwepo uwajibikaji mwananchi ndiye anadhurika, No reforms, No election itaiwajibisha serikali

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
  13. DolphinT

    Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  14. S.M.P2503

    Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
  15. JanguKamaJangu

    Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Mzee wa miaka 71 awaka! Mnataka nife bila kupata umeme?

    Mzee Exavery Mgavilwa (71) maarufu kwa jina la Boy Safi ambaye ni mkazi wa kijiji cha Ninga halmashauri ya Wilaya ya Njombe ameiangukia serikali akiomba kufikishiwa nishati ya umeme nyumbani kwake akidai kuwa hataki kufa bila kuona umeme ukiwaka kwenye nyumba yake. Mzee Mgavilwa ameeleza hayo...
  17. P

    Mtaro mbele ya Shule ya Talantah International (Mbezi Beach) umezibuliwa, TARURA boresheni na barabara za mtaani

    Salaam Wakuu, Ule mtaro uliokuwa umeziba maji wazibua, maji yalikuwa yametuama na kusababisha kero kubwa yameweza kwenda. Hii isiishie hapo. Barabara ya eneo hilo itengenezwe, na njia za mitaani pia zifanyiwe kazi. Zege mtaani haliwashindi bwana. Yaani mvua ikinyesha kidogo tu tunataabika...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwananchi amkalia kooni diwani, mwaka huu hatukutaki tena

    Moja ya mwananchi wa Somelo, Mkoa wa Ilala amembana Diwani kwa maswali magumu akitaka kufahamu yapi ameyafanya diwani huyo tangu alipoingia madarakani. Wakati muda huo hakuna kilichofanyika hadi sasa, Mwanachi huyo akamaliza kwa kumwambia diwani mwaka huu hatukutaki tena. Pia soma Kuelekea...
  19. mwengeso

    Serikali jibuni kuhusu kesi ya Lissu, utekaji wa watu, maamuzi katika michezo

    Serikali iliyoko madarakani iwape wananchi kuhusu yanayoendelea kisiasa na michezo, hasa mpira wa miguu. 1) Lissu anashitakiwa na wanachi wahudhuria mahakamani kusikiliza kesi wanapigwa na Polisi 2) Mdude anakamatwa nyumbani kwake na hajulikani alipo kama bado yuko hai 3) Padri Kitima...
  20. Dr Adam Francis

    PreGE2025 Serikali isiyotishwa na wananchi, haitawajibika kwa wananchi

    Demokrasia hasa hii ya vyama vingi sio utamaduni mkongwe katika uongozi wa nchi nyingi duniani. Kihistoria mfumo mkongwe wa uongozi ni mfumo wa kifalme. Katika mfumo huu wakuu wa nchi hawapati haki ya kutawala kwa kuchaguliwa na wananchi, bali hupata haki ya kutawala kwa kuzaliwa kwenye familia...
Back
Top Bottom