Vibali vya kurejea utumishi wa umma

Ngomile

Member
Mar 18, 2018
18
14
Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza.

Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni takribani miaka 4 mpka sasa na bado hakija toka mpk leo hii pamoja na michakatominginiliyopitia juu ya kdhia hii.

Sasa natka kufahamu kwa wenye uzoefu wa jambo hili ni muda ganihsa huchukua mpka kibali kuolewa?

Natanguliza shukrani.
 
Mimi binafsi sijakuelewa. Walioelewa scenario yake watakuja kukupa maelezo mazuri.

Ulichukua likizo bila malipo ili ukafanye kazi private sector kwa muda fulani ili baadae urejee au ilikuaje.
 
Fuatilia pale utumishi huenda kilishatoka ila wamekikalia, wengi huchukua mwaka mmoja kukipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom