Mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa?

Miss Makuka

Member
Jan 5, 2023
5
4
Habari wapendwa,

Jamani kwa wale watumishi wa Serikali, hivi mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa. Maana mimi binafsi nimeandika barua toka mwezi wa 12 mwaka huu 2023, mpaka sasa majibu sijapata na nikipiga namba za call center hazipatikani.

Na mbaya zaidi ofisi zao ndiyo huko Dodoma, hata status ya barua inakuwa ngumu kujua imefikia stage gani.

Wapendwa kwa yeyote yule aliyewahi kuhamia sehemu na baadaye
 
Huu mfumo wa ess hata huwezi kujua barua yako IPO kwa nani ikishafika hatua ya utumishi, sana sana itakaa mbaka utaimba haleluya , utumishi binafsi sitawasahau maishani mwangu milele, Mungu atusaidie sana .
 
Huu utaratibu wa kuomba utumishi online kwa njia ya mfumo wa ESS nilijua kwamba mambo yatakuwa fasta sana kuliko zamani ila ninachokiona watu bado hawana semina
 
Back
Top Bottom