utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Morogoro: Kada wa CCM, Alex Chage adaiwa kuchukuliwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi usiku wa manane

    Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo, na kumchukua kwa nguvu mbele ya mke wake na mwanae. Watu hao waliojitambulisha...
  2. Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  3. PostGE2025 Iliwalazimu Genge la UTEKAJI kumtumia Mzee Butiku kumteka Polepole, bila hivyo wangemshindwa kama walivyomshindwa Bishop Gwajima-Jasusi!

    Mnaweza mkadhani mna TISS Taasisi ya kujivunia Sasa Idara kama TISS ambayo ni Jicho la Nchi, imejaa Machawa, Wenyewe, Utendaji kazi wao UNATEGEMEA NGUVU TU . Yaan ni mpaka wamkamate MTU A, wampe Kichapo mpaka awaambie MTU B Yuko wapi. Mnaóna ya OKTOBA 29, Tuliwakamata BILA wao kutarajia...
  4. Samia kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute?

    Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!. Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ? Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
  5. L

    Kwa Matamko ya PM siku ya leo hii ni ushindi tosha kwa Gen-Z kwa D9 kutoka na kudai Tanganyika yao

    Naona Mwangaza na Asubuhi Njema kwa Taifa Letu siku ya TAREHE 09 DECEMBER 2025, Uhuru wa Tanganyika ukizaliwa upya vijana wa Kitanganyika wakiona nchi yao ikiwa Haina utekaji na Miili ya Wapendwa wao wakipewa waende wakawazike kwa heshima na Lissu akiachiwa huru na Uchaguzi ukirudiwa ukiwa huru...
  6. Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  7. PostGE2025 Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

    Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV camera. Walitoa taarifa polisi na kupost kwenye kurasa zao za social media kuhusu tukio hioo. Baada ya...
  8. PostGE2025 Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu

    Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu
  9. PostGE2025 Ndani ya wiki 2 wameshatekwa watu maarufu 2 "MC Pilipili & Clemence Mwandambo", watanzania ujinga utaisha lini?

    Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu. MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu wanatekwa watu wanajifanya kutojali
  10. Kudai haki na Uwajibikaji na Ufisadi, Wizi, na Utekaji, ndo kilipelekea Maadamano tuache Kutafuta mchawi

    Sikuwahi kujua kwamba wauaji, Mafisadi, Watekaji, Wezi wa rasilmali za nchi wana nguvu kiasi hiki? Kwanza ilianza mtu akikosoa serikali...
  11. Utekaji, Mauaji hatimaye tunaanza kupata wahusika wakuu

    Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri. Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki...
  12. R

    PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  13. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  14. kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  15. Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  16. Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  17. Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

    Wakuu, Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa. Lakini hola! Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania. Hii nchi imeoza to the core!
  18. M

    PostGE2025 Tulia Ackson, wahuni walikutumia kuuza bandari za Tanganyika na kufumbia macho UTEKAJI na MAUAJI ya wananchi. Sasa wamekuweka pembeni

    Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais, akashiriki kubariki azimio eti la kumpongeza rais utendaji wake wakati alitakiwa amsimamie huyo...
  19. K

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa? Aidha amaetaka kuhukumiwa...
  20. Seneta Cherargei aunga mkono utekaji nyara wa wakenya

    https://m.youtube.com/watch?v=Fb0NXm8zczM Katika hotuba yake amesema, mkiwapata wakenya wafinyeni alafu warudishe tuwamalizie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…