Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi .
Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema...
“Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhusika na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji almaarufu ‘Mo Dewji’.
Twaleb alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Mei 28, 2019...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu
Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya...
Waziri wa mambo ya Ndani mh Mwigulu Nchemba akijibu swali la mbunge wa viti maalum wa chadema cesilia pareso amesema":-
"Uzoefu umeonyesha ya kwamba muongeaji chama chake (CHADEMA) kinaposhiriki kwenye uchaguzi ndio kuna kuwa na matukio makubwa sana ya kihalifu.
Kuna uchaguzi mmoja chama chako...
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS.
Introduction ya Mada
Hii ni mada very...
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
https://www.instagram.com/reel/DKMTCIwtj3l/
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya...
Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale.
Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani.
Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi.
Sasa hivi...
Wanajamvi niwasalimu kwanza.
Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.