utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Bongo zozo: Napinga utekaji hadi nitekwe mimi halafu nitaendelea kupinga!

    Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi. "Sikukuu tukumbuke waliopotezwa. Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO. NAPINGA UTEKAJI...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha utekaji hamko salama kama mnavyofikili, wakuu wakiamulia kufyekelea mbali wiki mbili nyingi sana

    BWANA NA MWOKOZI WETU AWE JUU YENU KILA MMOJA KWA AMANI YAKE WANA JF MLIPO POPOTE Naenda kwenye mada . Nyie watekaji na wauwaji wa Tanzania wenzenu ,chukua ujumbe huu tena kwa umakini mkubwa. Najua mnalipwa, kwa kazi hii haramu, kama wahudumu wa afya huweza sikitika nyoyoni mwao pale...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifU, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando

    Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifu, mauwaji, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando ni ujinga na uchizi wewe ni mwehu.
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Staili ya utekaji unaoendelea inashabihiana ile ya enzi za mazombi Zanzibari

    Kwa tuliofatilia siasa za zanzibar miaka ya nyuma kidogo mtakumbuka matukio mengi yanayo fanana na haya yaliyokua yakitokea huko Zanzibar. Watu walikua wanatekwa, tena usk wa manane na kuuawa au kujeruhiwa.. hivihivi kama inavyotokea bara sasa. Hii inaonyesha mwasisi wa hii project ni mtu...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Geoffrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara adaiwa kutekwa na kushikiliwa kwa siri huku akipigwa sana

    Taarifa zilizosambaa mitandaoni zinadai kuwa Godfrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wakati wa Magufuli ametekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na watekaji waliojitambulisha kwake kama Polisi. Mwambe anadaiwa kuvamiwa usiku wa manane kuamkia leo, na alifanya jitihada za...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  11. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanasiasa, raia, wanaharakati, wakosoaji wanalalamikia utekaji, tukimbilie kwa nani??

    Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea. Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

    Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji. Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

    JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Serikali isitishe utekaji. Gen-Z wasitishe maandamano. Wafiwa wakabidhiwe miili Desemba 9 iwe siku ya mazishi kitaifa

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa sababu moyo wangu unawaza maandamano yenye...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mama Terry: Utekaji ukiisha, nchi hii mambo mengi sana yatapungua

    “Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane usiku anatekwa, kisha mzazi asiulize mwanangu yuko wapi. Nitauliza! Utekaji ukiisha, nchi hii mambo...
  18. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ina maana hana taarifa za utekaji?

    Hotuba nzima sijaskia suala la utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walioandamana siku ya Uchaguzi Ameongelea katiba Japo majibu hayaridhishi ila walau ameongelea Ameongelea Serikali iliyopo kung'oka madarakani, kimsingi sijaridhika na alicho sema ila najua ilikuwa...
  19. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Morogoro: Kada wa CCM, Alex Chage adaiwa kuchukuliwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi usiku wa manane

    Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo, na kumchukua kwa nguvu mbele ya mke wake na mwanae. Watu hao waliojitambulisha...
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
Back
Top Bottom