28 May 2026
CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE
https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o
Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli.
Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA.
Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu na kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 14 Mei, 2026 majira ya saa 04:30 usiku Polisi walipokea taarifa kuwa katika majengo pacha ya 'PSSSF Mtaa wa Mission Ilala Dar...
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai
Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu.
Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani ya ziada inayotembea na watu walio karibu na Lissu?
Tukio hili linaashiria uwepo wa "Ngao ya...
Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu.
Je vyombo vya usalama havina uwezo wa kuthibiti haya...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana...
Paul Makonda anaitumia Michezo sasa kuwin his trust kwa jamii aliyoiumiza sana kipindi cha Uongozi wa Magufuli kiasi cha kupigwa ban kuingia Marekani na Serikali ya Marekani bado ana tikisa na genge lake la Mafwele kwa Utekaji nyara wa Viongozi wa vyama Pinzani ambao sasa wanawaita wana...
Dr alishasema chadema Wana kikundi cha kuteka watu wa chadema kwa manufaa ya kisiasa nimewaka USHAHIDI HAPO chini. Je hicho kikundi ni lini kilivunjwa?
Mnaona donation zimedoda mkaamua mje na huu usanii wa kitoto
Chadema acheni siasa za kitapeli mnatekana wenyewe ili mpate public sympathy 🚮
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake!
Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
Ni drama iliyopikwa na watu wasio wazoefu katika kucheat, lakini pia the main character ni kama vile hakufanya rehearsal vizuri au hafundishiki, na ilimuwia vigumu sana kuact kama alivyoelekezwa na watengeneza script wa hiyo drama.
Ni wazi hapakua kabisa na mapambano, makabiliono au...
Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi.
Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Boniface Jacob, akizungumza katika mkutano wa hadhara Viwanja vya Soko Kuu jijini Arusha amesema kuwa ili kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji holela vinavyoendelea nchini, Serikali inapaswa...
Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji
Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi.
Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona?
Hii ripoti ni mali ya Rais
Wakuu,
Imeisha hiyooooo!
Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza.
Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati hapa hapa🙄🙄.
Akitoa tathmini yake kuhusu hali ya utawala wa sheria nchini kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa na Jambo TV, Wakili Edson Kilatu ameeleza kuwa hali ya utawala wa sheria nchini Tanzania kwa sasa inasuasua.
Soma Pia: Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu...
Baada ya siku kadhaa za kimya cha TFF, Juzi kiongozi wa kundi hilo Bwana Trump aliibuka na ujumbe wenye mashaka mengi.. Nitaweka video hapo chini
Mashaka hayo yaliyojaa maswali mengi tatanishi kama si kinzani yapo mpaka kwenye taswira yake na body language yake
Kwenye video hiyo anadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.