utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

    Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao. Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki atoa povu: Raia wajibikeni Wasanii sio wajibu wao kuleta mabadiliko

    Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe. Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania NSSF hilo pori la Ununio kama limewashinda Liuzeni badala ya kuliacha liwe kichaka cha Kuulia Watu!

    Natoa tu angalizo siyo sawa taasisi kubwa kama NSSF kutuwekea mapori Mjini. Sasa Watu wanatupwa tu kwenye pori la taasisi ya Umma tena wengine wakiwa wameshakufa kama yule mzee Ally Mohamed Kibao. Hili pori liko pembeni ya barabara inayotumiwa na Viongozi wengi sana akiwemo Waziri nyeti kabisa...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa Ali Kibao: Polisi watakuja na sababu za akina Dr. Ulimboka, Prof. Juan na wengine?

    Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi. Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

    Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii. Hawa wote kwa Umoja...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa. Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

    Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma ya upumbavu huu? Nani anaratibu kwa faida ya nani? Kama ni kwa faida ya Taifa nakataa, kama ni kwa...
  11. kipanga85

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo njia panda

    Maoni Tanzania iko kwenye njia panda ya kuogofya Kuna dalili za kutia doa ahadi za Rais Samia – baada ya kuingiamadarakani, kuwa atahakikisha Tanzania inaheshimu misingi yahaki na kuimarisha demokrasia. Hata hivyo,bado hajachelewa kutimiza aliyoahidi, licha ya nchi kugubikwa na matukio...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

    Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu Sasa unadai kuna watu walikuja kwako...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli tunalaani matukio ya utekaji na watekaji wenyewe

    Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano Ñàona utekaji Kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

    Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few! Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi na Viongozi wa Upinzani kukaa kimya kunatoa mwanya kwa watekaji kuendelea kupoteza watu nchini

    Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa uharamia. Wakataka kuona, Watamzania watafanya nini dhidi yao. Matokeo: Watanzania, kama nyumbu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao...
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

    Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna Ukija kutukana jua utajificha...
Back
Top Bottom